Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

Kifupi mbio baina yake na airbus inaonyesha airbus anachukua ushindi. Ni mda sasa Boeing anatengeneza hasara tu.
Sahihi kabisa kwa miaka 5 mfulululizo Airbus imekuwa ikipata orders nyingi na ikifanya deliveries zaidi ya Boeing

Inamaanisha Airbus wako vizuri kwenye mfg, assembling na kudeliver on time Boeing wako slow

Kwenye biashara ya aircraft na ship industry hiyo kitu ni muhimu sana ili usipoteze
wateja
 
Huku ndo nilikua natarajia ungeelekea.... una funza kichwani na ukichanganya na ile minyoo yenu mnayosoma huko viambazani akili imeota kutu!! Seriously mchina ampiku Boeing? Hiyo Comac spare wanatoa wapi? Hopeless creature!
Kwani Boeing na Airbus wanatoa wapi baadhi ya components na parts za kutengeneza ndege zao?
 
Hivi mshahara wa hao wafanyakazi ni minimum ya kiasi gani...?
Na wanataka kuongezewa kiasi gani...?
Wajiandae tu kwa upinzani, maana China and Russia na wao sasa hivi wanaanza uzalishaji wa ndege zao
 
Haihitsji akili kubwa sana kugundua kuwa uwekezaji kwwnye bodhaa marekani hauwezekani landa hudum pekee musk mwenyewe hawezi kuundia magari yake hapo
 
Basi huenda engineering skills zao ziko chini
Miaka hii Marekani imekuwa a changamoto sana kwenye engineering skills kwenye aircraft upande wa Boeing iko wazi

Pia kwenye ship building, engineering skills ni changamoto mpaka wameanza kuingia ubia na South Korea. Kampuni ya S.K wamenunua mojawapo ya ship building yard Marekani

Marekani imeanza hadi kufungua military repair facilities S.K na Japan lengo ni kuongeza maritime capabilities ya jeshi a navy la Marekani

Na huu ndio ukweli ambao wengi hawafahamu kuhusu Marekani hasa upande wa engineering skills katika field mbalimbali
 
Yeah wanachotaka Marekani kutoka kwa S.K na Japan ni transfer of skills na technical know how ili aje kucompete na Mchina kwenye ship bhilding
Bora mwingereza alinyoosha mikono kwenye hiyo industry
 
Bora mwingereza alinyoosha mikono kwenye hiyo industry
Mwingereza alikubali yaishe pale Ulaya kabaki Muitaliano naye anasuasua

Tatizo alilo nalo Marekani hata apate hizo engineering skills bado uzalishaji utakuwa na gharama ili apate materials kama chuma na supply chain kwa ujumla

Kwa hiyo production cost itakuwa kubwa na bei itakuwa kubwa, akirudi kwenye global market atashindwa kucompete na bei ya Mchina
 
Hawa tokea zile Boeing 737 Max zidondoke kipindi kile wanayumba sana kwenye biashara,cha ajabu bado wameendelea kukomaa kuzitengeneza...
Hata kukaza bolt kwenye B 737 Max ilikuwa changamoto na bado wafanyakazi wanataka waongezewe mishahara
 
Mchina haanzagi 1 ana copy hadi pale ulipoishia halafu na yeye anaweka yake
Hii tunaita innovation, kuna tofauti kati ya ku-copy na kufanya innovation

Innovation: is a process by which a domain, a product, or a service is renewed and brought up to date by applying new processes, introducing new techniques, or establishing successful ideas to create new value.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…