Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #41
Maafisa usafirishaji 17,000 wamepigwa chiniš
Inasikitisha sana kumbuka nyuma ya hao wafanyakazi 17,000 kuna watu ambao wanawategemea hasa watu wa familia zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maafisa usafirishaji 17,000 wamepigwa chiniš
Sasa ni muda wa Airbus kujiweka vizuri sokoni.... Maana ndiyo washindani wao wa karibu ktk uzalishaji wa ndege....
Kifupi mbio baina yake na airbus inaonyesha airbus anachukua ushindi. Ni mda sasa Boeing anatengeneza hasara tu.
Huku ndo nilikua natarajia ungeelekea.... una funza kichwani na ukichanganya na ile minyoo yenu mnayosoma huko viambazani akili imeota kutu!! Seriously mchina ampiku Boeing? Hiyo Comac spare wanatoa wapi? Hopeless creature!
Yani hapo ulipo unajiona kama mmarekani flani hivi eeh.,ššSerikali kamwe haiwezi ikaiacha kampuni kubwa kama Boeing ifirisike kwani ina mchango mkubwa sana kwa uchumi wa Marekani na dunia kwa ujumla.
![]()
Boeing - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Haihitsji akili kubwa sana kugundua kuwa uwekezaji kwwnye bodhaa marekani hauwezekani landa hudum pekee musk mwenyewe hawezi kuundia magari yake hapoCha ajabu kampuni za Marekani ndio zinaongoza kwa layoffs. Mwaka huu pekee wa 2024 hizi ni kampuni zilizoongoza duniani kwa layoffs zote ni U.S based
Dell: 18,500
Boeing: 17,000
Intel: 15,000
CISCO: 8,000
Microsoft: 3,400
Paypal: 2,500
List ni ndefu tuishie tu kwanza hapo, kuna shida kwenye uchumi wa Marekani
Haihitsji akili kubwa sana kugundua kuwa uwekezaji kwwnye bodhaa marekani hauwezekani landa hudum pekee musk mwenyewe hawezi kuundia magari yake hapo
Hivi mshahara wa hao wafanyakazi ni minimum ya kiasi gani...?
Na wanataka kuongezewa kiasi gani...?
I agree with youBaada ya U.S automobile industry kupoteza global hegemony kama vile Ford na GM kupoteana kwenye global market,
sasa inaonekana U.S aerospace industry inaenda kuporomoka. Boeing is in turmoil!
Tatizo la Boeing ni zaidi ya kubadilisha CEO ikumbukwe huyu wa sasa ni mpya ana miezi kadhaa tuWakamnunue CEO wa airbus
Basi huenda engineering skills zao ziko chiniTatizo la Boeing ni zaidi ya kubadilisha CEO ikumbukwe huyu wa sasa ni mpya ana miezi kadhaa tu
Miaka hii Marekani imekuwa a changamoto sana kwenye engineering skills kwenye aircraft upande wa Boeing iko waziBasi huenda engineering skills zao ziko chini
Mwisho wa siku watawageuka, hawaaminikiMarekani imeanza hadi kufungua military repair facilities S.K na Japan lengo ni kuongeza maritime capabilities ya jeshi a navy la Marekani
Yeah wanachotaka Marekani kutoka kwa S.K na Japan ni transfer of skills na technical know how ili aje kucompete na Mchina kwenye ship buildingMwisho wa siku watawageuka, hawaaminiki
Bora mwingereza alinyoosha mikono kwenye hiyo industryYeah wanachotaka Marekani kutoka kwa S.K na Japan ni transfer of skills na technical know how ili aje kucompete na Mchina kwenye ship bhilding
Mwingereza alikubali yaishe pale Ulaya kabaki Muitaliano naye anasuasuaBora mwingereza alinyoosha mikono kwenye hiyo industry
Hawa tokea zile Boeing 737 Max zidondoke kipindi kile wanayumba sana kwenye biashara,cha ajabu bado wameendelea kukomaa kuzitengeneza...
Mchina haanzagi 1 ana copy hadi pale ulipoishia halafu na yeye anaweka yake
Inflation print more dollarHata kukaza bolt kwenye B 737 Max ilikuwa changamoto na bado wafanyakazi wanataka waongezewe mishahara