Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

Wanarudi nyumbani

Ona CEO alichowaambia:


"Tunajua maamuzi haya yatasababisha ugumu kwenu, familia zenu , na ninatamani kwa dhati tungeepuka kuyachukua, hata hivyo, ili tuokoe biashara yetu kwa siku zijazo tunahitaji kuchukua hatua kali."
🤣
 
Ndo hivyo kua miaka 50 kwenye game haijalishi chochote kwa dunia ya sasa
Miaka ya 70s Marekani aliteka soko la dunia kwenye ship building, kufikia miaka ya 80s mpaka 90s Mkorea Kusini na Japan wakamreplace Marekani

Miaka ya 80s Japan ilikuwa global top exporter wa electronics baada ya kui-overtake Marekani

Miaka ya 90s Japan na Marekani zilikuwa na global market share kubwa sana kwenye uzalishaji na uuzaji wa solar tech kama panel, cells n.k

Hadi kufika miaka ya 20s Japan na Ujerumani zilikuwa the top biggest exporters wa magari duniani

Kufikia miaka ya mwanzoni mwa 2020 Ujerumani likuwa the top exporter wa machinery worldwide

Guess what? Kwenye sekta zote hizo Mchina kapindua meza yeye ndiye top

Nakubaliana na maneno yako; "kua miaka 50 kwenye game haijalishi chochote kwa dunia ya sasa"
 
Laana hio kuwauwa watoto wa Gaza na wanawake wagaza wadio na hatia sababu ndege zao F16 F15 na F35 zinahusika wacha na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…