Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Wanarudi nyumbani
Ona CEO alichowaambia:
"Tunajua maamuzi haya yatasababisha ugumu kwenu, familia zenu , na ninatamani kwa dhati tungeepuka kuyachukua, hata hivyo, ili tuokoe biashara yetu kwa siku zijazo tunahitaji kuchukua hatua kali."
Umesema vyemaInflation print more dollar
Ni Sawa na kuwa wakwanza kuzaliwa ktk family halafu mdogo wako wa mwisho akupite kiuchumi🤣Ndo hivyo kua miaka 50 kwenye game haijalishi chochote kwa dunia ya sasa
Ndo hivyo kua miaka 50 kwenye game haijalishi chochote kwa dunia ya sasa
Wanavuna walichopandaDuh aiseee
Hakika... Airbus washindwe wenyewe Sasa....Umesema vyema, so far Boeing imesharudi nyuma njia imekuwa nyeupe kwa Airbus