Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Ngoma ikivuma sana mwishowe.................
 
Wanafiki ni wale wanaopigia makofi upuuzi wa kuwa na ndege ambazo ni hasara kubwa kwa Taifa na haziongezi chochote katika maslahi ya Watanzania.
Mpumbavu ni mtu yeyote anayezungumzia jambo asilolijua kwa undani lakini hataki kuuliza ili aweze kujifunza jambo jipya, haisaidii kuendelea kulimbikiza ujinga.
 

kama shirika litakua na uwezo wa kujiendesha na kulipa deni sio mbaya
 
Nakwambia hakuna shirika la ndege la kibiashara halichukui mkopo kwenye ununuzi wa ndege. Nasema hakuna.
Leta evidence Emirates na Qatar huchukua loans! Najua huingia kwenye Sovereignty wealth fund na kuchukua fedha interest free as shareholder to Emirates. Wao huchukua percent ya faida ya Emirates tu as shareholder. Ndo maana EU n US airlines zinalalamika kila siku.
 
ukimusikiliza sana mtoto, utaishia kusema kusema NINGEJUA, huku wakati umeshakuacha
 
So cash imeisha? Tumeamua kukopa sasa.

Mnakosea sana kuita ndege za JPM, sababu shirika linapovurunda lawama ni kwa JPM. Hata yeye yupo tyar kutumia gharama zozote shirika lisianguke hta kama linatengeneza hasara tu ili sifa ziende kwa mtukufu JPM.
 
this is a golden chance, JPM do it b'couse never happen again ever, do'nt listen what's what jelous shout against, HOPE OUR DESTINATION LOOK GREAT AND PRECIOUS, watanzania tusiwe watumwa kamwe na mabeberu kifikra
 
Habari ni njema sana ila cha kujiuliza, kwa nini hiyo habari njema haijaandikwa kwenye Daily News na badala yake iandikwe kwenye kijarida kinachotumika kama propaganda tool ya serikali na kinachochapwa na yule mtukanaji Musiba anayewapaka watu matope kwa uongo wa dhahiri?

Vv
 
Kule Kenya njia zote zinapitika sio? How about returns? BTW kuna fedha zimetengwa Kwa ajili ya barabara hiyo.
Geza mimi nakuamini sana lkn I am very sorry nashindwa kuiamini hiyo ' habari njema' ambayo naitamani iwe kweli kwa kuwa hilo gazeti lililoandika sio credible na mmiliki wake morally hayuko sawasawa.

Vv
 
So cash imeisha? Tumeamua kukopa sasa.

Mnakosea sana kuita ndege za JPM, sababu shirika linapovurunda lawama ni kwa JPM. Hata yeye yupo tyar kutumia gharama zozote shirika lisianguke hta kama linatengeneza hasara tu ili sifa ziende kwa mtukufu JPM.
Sio rahisi akili ndogo kuelewa mambo makubwa.
 
Hii ni point muhimu sana na ya msingi.
 
NGEGE ndio zinakam wala sio ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…