Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KusafiriNdege zinatusaidia nini sasa
Kupaa anganiNdege zinatusaidia nini sasa
Mpumbavu ni mtu yeyote anayezungumzia jambo asilolijua kwa undani lakini hataki kuuliza ili aweze kujifunza jambo jipya, haisaidii kuendelea kulimbikiza ujinga.Wanafiki ni wale wanaopigia makofi upuuzi wa kuwa na ndege ambazo ni hasara kubwa kwa Taifa na haziongezi chochote katika maslahi ya Watanzania.
Hahahaaaa.. nimecheka sanaHawa ni wale jukwaa la mapenzi sijui huku wanafuata nini
haya subiri nikuletee ushahidi😀😀😀😀Nakwambia hakuna shirika la ndege la kibiashara halichukui mkopo kwenye ununuzi wa ndege. Nasema hakuna.
Ndio hivyo Boeing ndio wametoa special offers kwa kutengenezea AirTanzania ndege kisha AirTanzania kulipa kwa installments tofauti na utaratibu wa prepayments
Ni kuanzia hii aircraft ya saba amapo watakua wakiipa AirTanzania Boeing mojamoja kila baada ya last order
Unatakiwa ujue tunachukua kwa Boeing direct sio broker kama KQ alafu hakuna interest rates yoyote kwenye hayo makubaliano
Utaambiwa una IQ ndogo.Kabisa Mrs Van, kwa wasafiri gani wenye uwezo wa kulipia gharama kubwa za usafiri wa anga? Ni majanga makubwa hasara kwa ATCL kuzidi kupaa mwaka hadi mwaka.
Leta evidence Emirates na Qatar huchukua loans! Najua huingia kwenye Sovereignty wealth fund na kuchukua fedha interest free as shareholder to Emirates. Wao huchukua percent ya faida ya Emirates tu as shareholder. Ndo maana EU n US airlines zinalalamika kila siku.Nakwambia hakuna shirika la ndege la kibiashara halichukui mkopo kwenye ununuzi wa ndege. Nasema hakuna.
Soma tenaurasimu umepungua wapi?
Habari ni njema sana ila cha kujiuliza, kwa nini hiyo habari njema haijaandikwa kwenye Daily News na badala yake iandikwe kwenye kijarida kinachotumika kama propaganda tool ya serikali na kinachochapwa na yule mtukanaji Musiba anayewapaka watu matope kwa uongo wa dhahiri?Boeing actually borrows from its customers in the form of mandatory deposit so that it can buy materials to start manufacturing the aircraft for the client. JPM has negotiated this out, meaning that they have to get their own funds to start the project
Kupamba anga[emoji16][emoji16][emoji16]Ndege zinatusaidia nini sasa
Geza mimi nakuamini sana lkn I am very sorry nashindwa kuiamini hiyo ' habari njema' ambayo naitamani iwe kweli kwa kuwa hilo gazeti lililoandika sio credible na mmiliki wake morally hayuko sawasawa.Kule Kenya njia zote zinapitika sio? How about returns? BTW kuna fedha zimetengwa Kwa ajili ya barabara hiyo.
Sio rahisi akili ndogo kuelewa mambo makubwa.So cash imeisha? Tumeamua kukopa sasa.
Mnakosea sana kuita ndege za JPM, sababu shirika linapovurunda lawama ni kwa JPM. Hata yeye yupo tyar kutumia gharama zozote shirika lisianguke hta kama linatengeneza hasara tu ili sifa ziende kwa mtukufu JPM.
Hii ni point muhimu sana na ya msingi.Habari ni njema sana ila cha kujiuliza, kwa nini hiyo habari njema haijaandikwa kwenye Daily News na badala yake iandikwe kwenye kijarida kinachotumika kama propaganda tool ya serikali na kinachochapwa na yule mtukanaji Musiba anayewapaka watu matope kwa uongo wa dhahiri?
Vv
NGEGE ndio zinakam wala sio ndegeBoeing imeingia makubaliano maalum na serikali ya Tanzania katika sector ya anga kwa kuingia special offer agreement kwa kutengenezea AirTanzania ndege bila masharti ya kawaida ya company hiyo
Inajulikana kwamba huwezi kupata ndege mpaka ufanye prepayments of more than half of the total price of the particular aircraft hili ni kwa manufacturers wote wa aircrafts around the globe
Hali imekua tofauti kwa case ya Tanzania na Boeing ambapo Boeing wamepeleka offers zao kwa serikali ya Tanzania kwa kuiahidi kutengenezea ndege zake bila kulipa prepayments zozote na hiyo wameanza na hii Boeing 787-8 ya pili ambayo ipo under the construction now
Ni baada ya Boeing kuona promising huge market ya aviation Tanzania na revolution ya aviation sector hapa Tanzania kuanzia ujenzi wa Airports na Radars pamoja na move ya JPM
Vivaaa JPM
Vivaaa Tanzania
Vivaaa AirTanzania
View attachment 764258