Nadhani nimekueleza vizuri sana, kwamba wenye kukubaliana na Mtatiro kama wewe, mtamuelewa haraka sana, wenye kupingana naye wtamponga hata kama anachosema ni sawa, kwasababu tu hana authority au uhalali wa kuzungumzia hilo eneo, yeye ni maoni yake ambayo hayana nguvu ya kukublika kwa sababu sio mtaalamu wa eneo hilo, hata kama ni kweli anachokizungumza.
Tatizo ni watu wajinga na wapumbavu ambao hawazingatii utaalamu katika kuchuja na kupambanua mambo ya kitaalamu kama haya, wao wanadhani mtu yeyote tu anaweza kuzungumza lolote lile, watu wapumbavu ni wengi sana Africa, hata baada ya kuelweshwa hawawezi kufikiria na kuona huenda analoshauriwa ni jambo la msingi, yeye anazidi kusisitiza mitazamo yake, kumbuka mtu mpumbavua hayuko tayari kujifunza na kubadilika.