Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Jamaa niliwaambia hawajui airline industry hawakuskia. Lazima huo ushamba wa kurukaruka kusherehekea ndege ikiland uwaishe ndio waanza kujua mambo. Wanadhani airline industry ni mchezo? Uganda walijaribu wakafeli.😀
Hao ni UGANDA sis ni TANZANIA.Halafu pia wakati wa JK tulilalamika kwamba ndege hakuna tunapitwa na RWANDA sasa hivi ndege zinakuja bado tunalaumu.Wabongo tunapenda kuongea na kujisahau sana aisee
 
Mie huwa sikurupuki ninapoandika humu. Upumbavu wako mwisho mtaa wa lumumba siyo humu. Ndege chache tu hasara ndani ya miaka miwili ni 223.1 billion kwa miaka miwili tu. Kwanini ziongezwe ndege wakati wasafiri hakuna? Ni upuuzi wa hali ya juu kuongeza ndege wakati ushahidi uko wazi ni hasara kubwa kwa Taifa.

Uchambuzi wa Mtatiro J kuhusu ATCL kujiendesha kwa hasara

Mpumbavu ni mtu yeyote anayezungumzia jambo asilolijua kwa undani lakini hataki kuuliza ili aweze kujifunza jambo jipya, haisaidii kuendelea kulimbikiza ujinga.
 
Hahahahahahaha. Uchambuzi wa Mtatiro[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
ooooooh God.. yani ni habari ya kupamba ukurasa wote wa mbele hiyo? halafu kuna maneneo ndege za JPM.. anazinunua za kwake na familia yake au za nchi?
 
we jamaa JPM unamuwaza kuliko unavyomuwaza bibi yako
 
Hakuandika uongo, ni ukweli mtupu na Serikali ya waongo kimyaaaa!
Hapo ndio tatizo linapoanzia huku Africa, so long as ameandika vile unavyopenda wewe unaita ni ukweli, kwa yule ambaye ana mitazamo tofauti na Mtatiro atasema ni uongo,sasa tusimamie wapi sisi ambao ni neutral?. Kwa watu walioendelea ki akili huwa wanathamini sana professionals, lazima huyo mtu anayetoa huo uchambuzi ni mtu aliyebobea katika eneo husika, sio kila mtu anaweza kuzungumzia topic yoyote kwasababu ni mwanasiasa au ni mtu maarufu.
 
Acha upumbavu hivi unafikiri Serikali ingekaa kimya kwa Mtatiro kuandika kuhusu hasara ya bilioni 223.1 kwa ATCL!? Akili za wapi hizi!?

 
Wapi nilipoandika nilitaka awe Mwalimu!? Usipotoshe kile nilichoandika vile utakavyo wewe.
Kama kuna tajiri aliyepata utajiri kwa kujua tu kingereza namuomba chief na mimi nikawe tajiri kama yeye
 
Tunaishia kuzisikia tu dah. Ndege kwa ajili ya Tabakaaa fkani
 
Ununuzi wa ndege aina ya Bombardier ndani ya miaka miwili kwa mujibu wa mwenyekiti wa uwekezaji mitaji ya Umma Mh.Albert Ntabaliba, shirika LA ndege ATCL limepata hasara ya zaidi ya billion 223, ambazo ni zinatokana na hasara ya mwaka wa fedha 2015/16 hasara ya billion 109.3, mwaka wa fedha 2016/17 hasara ya billion 113.8 ambazo zinakupa jumla ya hasara ya billion 223.1 na ukijumlisha na billion 94.3 hasara ya mwaka wa fedha 2014/15 utapata jumla ya hasara billion 317.4!


 
Acha upumbavu hivi unafikiri Serikali ingekaa kimya kwa Mtatiro kuandika kuhusu hasara ya bilioni 223.1 kwa ATCL!? Akili za wapi hizi!?
Nadhani nimekueleza vizuri sana, kwamba wenye kukubaliana na Mtatiro kama wewe, mtamuelewa haraka sana, wenye kupingana naye wtamponga hata kama anachosema ni sawa, kwasababu tu hana authority au uhalali wa kuzungumzia hilo eneo, yeye ni maoni yake ambayo hayana nguvu ya kukublika kwa sababu sio mtaalamu wa eneo hilo, hata kama ni kweli anachokizungumza.

Tatizo ni watu wajinga na wapumbavu ambao hawazingatii utaalamu katika kuchuja na kupambanua mambo ya kitaalamu kama haya, wao wanadhani mtu yeyote tu anaweza kuzungumza lolote lile, watu wapumbavu ni wengi sana Africa, hata baada ya kuelweshwa hawawezi kufikiria na kuona huenda analoshauriwa ni jambo la msingi, yeye anazidi kusisitiza mitazamo yake, kumbuka mtu mpumbavua hayuko tayari kujifunza na kubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…