mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Hao ni UGANDA sis ni TANZANIA.Halafu pia wakati wa JK tulilalamika kwamba ndege hakuna tunapitwa na RWANDA sasa hivi ndege zinakuja bado tunalaumu.Wabongo tunapenda kuongea na kujisahau sana aiseeJamaa niliwaambia hawajui airline industry hawakuskia. Lazima huo ushamba wa kurukaruka kusherehekea ndege ikiland uwaishe ndio waanza kujua mambo. Wanadhani airline industry ni mchezo? Uganda walijaribu wakafeli.😀