Kuna kabila moja kanda ya ziwa samaki aina ya Sato wanamuita NGEGENGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Kujua kuongea kiswahili na kiingereza ndio qualification ya maana sana kwa kazi ya Rais? Fikira za kuku hizi
[emoji1][emoji1][emoji1] itakua ndo alichomaanisha huyuKuna kabila moja kanda ya ziwa samaki aina ya Sato wanamuita NGEGE
Mbona katika hiyo mikutano ya Kimataifa kuna mataifa yanatukuza lugha zao? Wajapani,Wachina,wakorea,wahindi,wajerumani wataliano, wanazungumza kingereza? Au ndio ile kasumba ya kudhani kujua kingereza basi ndio usomi?Kwa akili yako ya KIZWAZWA unaona si kigezo sasa anahofia kuiwakilisha nchi kwenye mikutano muhimu duniani na taahira wewe unaona ni sawa tu! Kuiwakilisha nchi katika mikutano muhimu duniani na kushindwa kufanya hivyo ni hasara kubwa kwa nchi sasa kabaki kuja na visingizio uchwara.
Nadhani nimekueleza vizuri sana, kwamba wenye kukubaliana na Mtatiro kama wewe, mtamuelewa haraka sana, wenye kupingana naye wtamponga hata kama anachosema ni sawa, kwasababu tu hana authority au uhalali wa kuzungumzia hilo eneo, yeye ni maoni yake ambayo hayana nguvu ya kukublika kwa sababu sio mtaalamu wa eneo hilo, hata kama ni kweli anachokizungumza.
Tatizo ni watu wajinga na wapumbavu ambao hawazingatii utaalamu katika kuchuja na kupambanua mambo ya kitaalamu kama haya, wao wanadhani mtu yeyote tu anaweza kuzungumza lolote lile, watu wapumbavu ni wengi sana Africa, hata baada ya kuelweshwa hawawezi kufikiria na kuona huenda analoshauriwa ni jambo la msingi, yeye anazidi kusisitiza mitazamo yake, kumbuka mtu mpumbavua hayuko tayari kujifunza na kubadilika.
Lete na majibu ya serikali yalihotolewa bungeni baada ya huu mchango, hivi umesaha juzi wabunge hawa hawa walisema bungeni kwamba ATCL haina business plan lakini baadae waziri aliwaletea business plan ya ATCL, sasa kama wabunge wanaenda bungeni bila kujiridhisha hicho wanachozungumza kama ni kweli au hapana, vipi kila kinachosemwa hujaribu kusikiliza majibu ya upande wa pili wewe unakibeba kama kilivyo?, huo ndio upumbavu kama hujui maana ya upumbavu.Ununuzi wa ndege aina ya Bombardier ndani ya miaka miwili kwa mujibu wa mwenyekiti wa uwekezaji mitaji ya Umma Mh.Albert Ntabaliba, shirika LA ndege ATCL limepata hasara ya zaidi ya billion 223, ambazo ni zinatokana na hasara ya mwaka wa fedha 2015/16 hasara ya billion 109.3, mwaka wa fedha 2016/17 hasara ya billion 113.8 ambazo zinakupa jumla ya hasara ya billion 223.1 na ukijumlisha na billion 94.3 hasara ya mwaka wa fedha 2014/15 utapata jumla ya hasara billion 317.4!
Wewe ni miongoni mwa wale wajinga wanaoshikwa masikio na Mange Kimambi, stupid wa level ya airbus 380Hakuna ulijualo wewe ndiyo wale wale MAZWAZWA wa lumumba kupigia makofi mediocre performance. Hasara ya 223.1 bilioni kwa ZWAZWA wewe ni ndogo na hivyo kuongeza ndege wakati hakuna wasafiri wa kupanda ndege hizo ni sawa tu!!!!
JPM hatafuti umaarufu nje, yeye alichaguliwa na waTz iliawatumikie. hakuna alichopoteza kwa kukosa kwenda mikutano ya nje na wazungu. kwa kwa sasa wazungu wenyewe kama wa WorldBank wana mtafuta wampe mikopo. Wazungu wa UK juzi wameipandisha TZ kuwa bora kwa creditworthness to B1 ratingKwa akili yako ya KIZWAZWA unaona si kigezo sasa anahofia kuiwakilisha nchi kwenye mikutano muhimu duniani na taahira wewe unaona ni sawa tu! Kuiwakilisha nchi katika mikutano muhimu duniani na kushindwa kufanya hivyo ni hasara kubwa kwa nchi sasa kabaki kuja na visingizio uchwara.
Mbona katika hiyo mikutano ya Kimataifa kuna mataifa yanatukuza lugha zao? Wajapani,Wachina,wakorea,wahindi,wajerumani wataliano, wanazungumza kingereza? Au ndio ile kasumba ya kudhani kujua kingereza basi ndio usomi?
JPM hatafuti umaarufu nje, yeye alichaguliwa na waTz iliawatumikie. hakuna alichopoteza kwa kukosa kwenda mikutano ya nje na wazungu. kwa kwa sasa wazungu wenyewe kama wa WorldBank wana mtafuta wampe mikopo. Wazungu wa UK juzi wameipandisha TZ kuwa bora kwa creditworthness to B1 rating
Kila Rais ana utashi wake na mipango yake chief hilo lielewe halafu kingine sis si tuna lugha yetu? Kwa nini tuhangaike kutumia kingereza wakati tuna lugha yetu ya Kiswahili kwani haifai kutumika katika mikutano ya kimataifa? Umeshawahi kumsikia PUTIN wa RUSSIA akihutubia UN kwa kingereza? watu wanatukuza vyao sio vya jirani.Kwanini Marais wanne waliotangulia hawakutumia Kiswahili kwenye mikutano ya Kimataifa? Na hawa hawakuwa na Phd, kwanini huyu mwenye Phd ashindwe!?
Hivi kwanini wewe ni mjinga kiasi hiki?, jenga hoja inayoonyesha matatizo au hasara inayopatikana kwa Magufuli kutotumia kiingereza ili tujadili, sasa wewe unasema mbona marais waliopita hawajatumia kiswahili, hilo tu ndio linakusumbua kwasababu waliopita hawakutumia kiswahili?, hivi una akili timamu kweli wewe?Kwanini Marais wanne waliotangulia hawakutumia Kiswahili kwenye mikutano ya Kimataifa? Na hawa hawakuwa na Phd, kwanini huyu mwenye Phd ashindwe!?
Kila Rais ana utashi wake na mipango yake chief hilo lielewe halafu kingine sis si tuna lugha yetu? Kwa nini tuhangaike kutumia kingereza wakati tuna lugha yetu ya Kiswahili kwani haifai kutumika katika mikutano ya kimataifa? Umeshawahi kumsikia PUTIN wa RUSSIA akihutubia UN kwa kingereza? watu wanatukuza vyao sio vya jirani.
Nchi zote za afrika lazima watembeze bakuli. Lakini JPM anatembeza akiwa kwake magogoni tena akitumia lugha yake ya kisukuma. Ajabu ni kwamba wazungu wanajaza bakuli wala hawa dai riba ya JuuHatafuti umaarufu nje sasa kibakuli chake nchi za nje cha nini naye alidai tuna pesa nyingi sana!? 😱
JPM asks Denmark to fund construction of 11-kilometre road
Hivi kwanini wewe ni mjinga kiasi hiki?, jenga hoja inayoonyesha matatizo au hasara inayopatikana kwa Magufuli kutotumia kiingereza ili tujadili, sasa wewe unasema mbona marais waliopita hawajatumia kiswahili, hilo tu ndio linakusumbua kwasababu waliopita hawakutumia kiswahili?, hivi una akili timamu kweli wewe?
angalia ulivyo zwazwa ndege za a400 zilikuja september26 /2016 zilianza kazi mwezi october2016 wewe kwenye hasara unatuletea hasara ya 2015/2016.roho mbaya haikusaidii kitu we dogoUnunuzi wa ndege aina ya Bombardier ndani ya miaka miwili kwa mujibu wa mwenyekiti wa uwekezaji mitaji ya Umma Mh.Albert Ntabaliba, shirika LA ndege ATCL limepata hasara ya zaidi ya billion 223, ambazo ni zinatokana na hasara ya mwaka wa fedha 2015/16 hasara ya billion 109.3, mwaka wa fedha 2016/17 hasara ya billion 113.8 ambazo zinakupa jumla ya hasara ya billion 223.1 na ukijumlisha na billion 94.3 hasara ya mwaka wa fedha 2014/15 utapata jumla ya hasara billion 317.4!
Ninihisi ulizaliwa ukiwa na congenital syphilis, hustahili hata kujibiwa wewe.Una akili finyu sana wewe! Rais hatakiwi ajifungie ndani ya nchi anatakiwa kuweza kubadilishana mawazo na Viongozi mbali mbali ndani duniani kwa kujifungia ndani ya nchi ndiyo sababu anakurupuka kila kukicha na maamuzi ambayo hayana maslahi kwa Watanzania miaka
miwili na nusu madarakani ni hasara tupu kwa Taifa.
Duuh!! Akiwa anaongea Kiswahili kuna kua na watafsiri ata akiongea Putin, Macron etc. Hiyo hoja hamna anayemsikiliza kwakua anaongea kiswahili ime kaa kijiweni jiweni. Jaribu kuongea ukishirikisha akiliUsimfananishe PUTIN na Magufuli wewe! Akili za wapi hizi!? Russia ni Taifa kubwa huwezi kulinganisha na Tanzania wanapoongea dunia nzima husikiliza sasa wewe unataka kuongea Kiswahili nani atakusikiliza? Sasa kaishia kujificha ndani ya nchi!!!