Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Usimfananishe PUTIN na Magufuli wewe! Akili za wapi hizi!? Russia ni Taifa kubwa huwezi kulinganisha na Tanzania wanapoongea dunia nzima husikiliza sasa wewe unataka kuongea Kiswahili nani atakusikiliza? Sasa kaishia kujificha ndani ya nchi!!!
Kwa hiyo kama wakina puttin pekee wakiongea dunia huwasikiliza

Ni kwanini unataka JPM aongee English wakati unakiri kwamba dunia haitamsikiliza?

Kama dunia hamsikilizi ni Tanzania itamsikiliza na itamsikiliza vizuri zaidi atumiapo kiswahili.
 
Kuna nchi Duniani huwa inajiendesha kwa Rais wake kuzunguka Duniani kuwawakilisha?

Kwa akili yako ni lazima Rais awawakilishe wananchi kwenye mikutano?

Ni kitu gani Tanzania inakosa kwa kutowakilishwa na Rais?
View attachment 764715
Hahaha I guess he is saying u see, here is a President from a shithole country.
 
Hahaha I guess he is saying u see, here is a President from a shithole country.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Alafu wanataka Rais wetu aende akatukanwe mbele ya press conference waafrika tuna matatizo makubwa sana

Ni Africa tu Rais anaonekana hafai kisa haendi Ulaya kuzungusha bakuli
 
Kikwete alikuwa anatoka sana nje alituletea mawazo kutoka kwa hao viongozi wa nje bro!...???
 
Utajiri mkubwa wa mafuta Nigeria lakini nchi hiyo kimaendeleo bado iko nyuma sana. Angalia UAE utajiri wa mafuta mkubwa jinsi ulivyoibadilisha nchi ile ndani ya miaka 25 tu.

Angalia Tanzania utajiri mkubwa wa rasilimali mbali mbali lakini mikataba ya kifisadi kila kukicha ambayo haina maslahi kwa Watanzania kwa miaka nenda miaka rudi.

Madini ya Tanzanet yanapatikana Tanzania tu lakini India inaongoza kwa mapato ya Tanzanet, ikifuatiwa na USA, kisha Kenya halafu ndiyo sisi! Sijui kama huu si ushithole country ni kitu gani!!!!

Dhahabu, Almasi, gesi, uranium na rasilimali nyingine chungu nzima zote hizi kwa miaka 57 ya uhuru.

Kila kitu chetu ni shakalabaghala, elimu, miundo mbinu, hospitali zetu, ajira, mishahara pamoja na utajiri mkubwa sana wa rasilimali.

Mkapa mwizi na fisadi, Kikwete mwizi na fisadi na Magufuli naye ni mwizi na fisadi na ushahidi kwa wote hawa upo wa kutosha tu kuweza kuwapandisha kizimbani lakini wahalifu hawa wanalindana miaka nenda miaka rudi huku wakijilimbikizia mali kwa njia haramu na nchi ikibaki nyuma kimaendeleo.

Huu ni mwaka wa tatu unaingia Wafanyakazi wa Serikali nchini hawana nyongeza ya mshahara, sasa wanaambiwa wasubiri eti mpaka miradi mikubwa yote ikamilike!!!! Wakati huo huo wiki chache zilizopita tuliambiwa Serikali ina pesa nyingi sana!!! Pesa ya kufanya yale yasiyo na tija kwa Taifa ipo lakini kwa nyongeza ya mishahara kwa Wafanyakazi pesa HAKUNA!!!



Sasa hivi nchi inaendeshwa kihuni huni tu! Bunge linadharauliwa, mahakama zinadharauliwa, sheria za nchi zinadharauliwa hata Viongozi wa dini nao wanadharauliwa kumbuka waraka wa Maaskofu.


Mambo ni kidikteta dikteta tu! Halafu unashangaa tukiitwa shithole countries!!!! TUJITATHMINI ILI TUBADILIKE NA KUONYESHA KWAMBA tunaweza kubadilika badala ya kuendelea kuwapigia makofi wahalifu wanaojifanya ni Viongozi.

Kuna nchi Duniani huwa inajiendesha kwa Rais wake kuzunguka Duniani kuwawakilisha?

Kwa akili yako ni lazima Rais awawakilishe wananchi kwenye mikutano?

Ni kitu gani Tanzania inakosa kwa kutowakilishwa na Rais?
View attachment 764715
 
Acha kupoteza muda kwa kutujazia sever, wewe kama maisha yamekuchanganya nenda kafie mbele, wewe ni mtu gani usiyekubaliana hata na taarifa za kidunia, una matatizo gani wewe, World Bank, IMF na UN reports kadha wa kadha zimeeleza hali halisi ya Tanzania, badala ya kutuletea hizo report hapa, unaleta kelele na takataka toka kwa akina Mtatiro na Mahanga, hivi una akili au una makamasi kichwani mwako?
 
Acha ujinga wako wewe taahira. Usijibaraguze kujifanya wewe ni mmiliki wa hii forum pumbavu mkubwa wewe. Ujuha wako siyo humu! Eti nakujazia server! Lini ulianza kuwa mmiliki wa hii forum pimbi wewe!?

UZERO BRAIN kafanye kwingine humu utapewa za uso tu ukitaka usitake taahira mkubwa.

 
Baba yako na mama yako walikua wamelewa ndiyo wakakutana ndiyo mimba yako ikaingia, wewe chizi na malaya wa kiume, unaleta ujinga hapa ndani, pumbavu mkubwa wewe. Kama huna kazi njoo tukuajiri kuna dume la mbuzi halijapata jike muda mrefu, tuondelee ujuha wako hapa JF.
 
Naona umenuna karibu ya kupasuka pumbavu mkubwa wewe. Kajinyonge na kanga lakini ukweli kuhusu huyo dhalimu lazima uwekwe hadharani.

Soma na huu waraka wa Maaskofu ili upasuke kwa hasira taahira mkubwa wewe! Wazazi wako wote majuha na wewe ZWAZWA wa kutupa!

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

 
Umesikini umekujaa, badala ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako,umebaki kutupa lawama za kijinga, tafuta kazi ufanye hakuna short cut ya maisha, hata sisi tulipokua katika hali yako tulikua na hasira dhidi ya serikali na kila tuliyedhani ndio sababu ya matatizo yetu, lakini tulikaa chini tukatafuta ufumbuzi wa matatizo yetu. Achana na hasira na chuki za kijinga, nchi na watu kwa ujumla wanapiga hatua, fanya kazi kwa bidii ndiyo solution,
 
Pumbavu kweli wewe! Katiba imetoa haki kukosoa serikali na waliomo lakini kwa utaahira wako huelewi haki hiyo ya kikatiba pimbi wewe. Utaelewa tu na ujuha wako ZERO BRAIN mkubwa.


 
Pumbavu kweli wewe! Katiba imetoa haki kukosoa serikali na waliomo lakini kwa utaahira wako huelewi haki hiyo ya kikatiba pimbi wewe. Utaelewa tu na ujuha wako ZERO BRAIN mkubwa.

Baba yako na mama yako walianza upumbavu kabla ya tendo la ndoa lilipelekea upatikane wewe, wewe ni matokeo ya sperms za mwisho, wewe ni malaya wa kiume, lete tukuweke vitu huko behind.
 
Uwezo wako wa kujenga hoja ni SIFURI pole taahira kwa kuukimbia umande kumbuka UPUMBAVU NI
MZIGO MKUBWA SANA sasa umekuelemea.Acha kukurupuka humu na kujibaraguza kama vile ni mmiliki wa hii forum kutaka kuwawekea limit watu waandike nini humu. Ujuha mwisho lumumba siyo humu. Humu utapewa za uso tu ukitaka usitake.

Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa la Tanzania ni bora tu ungeishia kwenye ndom.


Baba yako na mama yako walianza upumbavu kabla ya tendo la ndoa lilipelekea upatikane wewe, wewe ni matokeo ya sperms za mwisho, wewe ni malaya wa kiume, lete tukuweke vitu huko behind.
 
Lete picha za baba yako na mama yako wakipeana vitu, shoga wewe.
 
Aiseee nimecheka sana,, BAK utakuja kuua watu, sio kwa micharazo hio.
 
Lilipita vumbi moja matata sana kati ya BAK na Joto la jiwe 😑 πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mwambie forum inaholdiwa na cloud server na haiwezi jaa at a miaka 100...cloud server yenyewe iko dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…