Acha kupoteza muda kwa kutujazia sever, wewe kama maisha yamekuchanganya nenda kafie mbele, wewe ni mtu gani usiyekubaliana hata na taarifa za kidunia, una matatizo gani wewe, World Bank, IMF na UN reports kadha wa kadha zimeeleza hali halisi ya Tanzania, badala ya kutuletea hizo report hapa, unaleta kelele na takataka toka kwa akina Mtatiro na Mahanga, hivi una akili au una makamasi kichwani mwako?
umezungumzia nigeri vs UAE je populationa umeangalia????Utajiri mkubwa wa mafuta Nigeria lakini nchi hiyo kimaendeleo bado iko nyuma sana. Angalia UAE utajiri wa mafuta mkubwa jinsi ulivyoibadilisha nchi ile ndani ya miaka 25 tu.
Angalia Tanzania utajiri mkubwa wa rasilimali mbali mbali lakini mikataba ya kifisadi kila kukicha ambayo haina maslahi kwa Watanzania kwa miaka nenda miaka rudi.
Madini ya Tanzanet yanapatikana Tanzania tu lakini India inaongoza kwa mapato ya Tanzanet, ikifuatiwa na USA, kisha Kenya halafu ndiyo sisi! Sijui kama huu si ushithole country ni kitu gani!!!!
Dhahabu, Almasi, gesi, uranium na rasilimali nyingine chungu nzima zote hizi kwa miaka 57 ya uhuru.
Kila kitu chetu ni shakalabaghala, elimu, miundo mbinu, hospitali zetu, ajira, mishahara pamoja na utajiri mkubwa sana wa rasilimali.
Mkapa mwizi na fisadi, Kikwete mwizi na fisadi na Magufuli naye ni mwizi na fisadi na ushahidi kwa wote hawa upo wa kutosha tu kuweza kuwapandisha kizimbani lakini wahalifu hawa wanalindana miaka nenda miaka rudi huku wakijilimbikizia mali kwa njia haramu na nchi ikibaki nyuma kimaendeleo.
Huu ni mwaka wa tatu unaingia Wafanyakazi wa Serikali nchini hawana nyongeza ya mshahara, sasa wanaambiwa wasubiri eti mpaka miradi mikubwa yote ikamilike!!!! Wakati huo huo wiki chache zilizopita tuliambiwa Serikali ina pesa nyingi sana!!! Pesa ya kufanya yale yasiyo na tija kwa Taifa ipo lakini kwa nyongeza ya mishahara kwa Wafanyakazi pesa HAKUNA!!!
Sasa hivi nchi inaendeshwa kihuni huni tu! Bunge linadharauliwa, mahakama zinadharauliwa, sheria za nchi zinadharauliwa hata Viongozi wa dini nao wanadharauliwa kumbuka waraka wa Maaskofu.
Mambo ni kidikteta dikteta tu! Halafu unashangaa tukiitwa shithole countries!!!! TUJITATHMINI ILI TUBADILIKE NA KUONYESHA KWAMBA tunaweza kubadilika badala ya kuendelea kuwapigia makofi wahalifu wanaojifanya ni Viongozi.
acha hasira hehehe wewe usilete siasa alaf ukachanganya na maendeleoππππNaona umenuna karibu ya kupasuka pumbavu mkubwa wewe. Kajinyonge na kanga lakini ukweli kuhusu huyo dhalimu lazima uwekwe hadharani.
Soma na huu waraka wa Maaskofu ili upasuke kwa hasira taahira mkubwa wewe! Wazazi wako wote majuha na wewe ZWAZWA wa kutupa!
WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini
picha ya chini kulia tafuteni wenye nazo hakuna askari wa tanzania anavaa kilemba neverππππSi hizo ni picha walizokataa humu eti sii zao?
Ati Nigeria ina watu 700 million??? Boss ulisomea mlango ya nyumaumezungumzia nigeri vs UAE je populationa umeangalia????
nigeria ina watua zaidi ya 700 million
UAE haizidi watu zaidi ya 10 million
Straight from my mind! Are you psychic?Kama hujui, that's one way of Boeing leasing to you indirect and having a stranglehold on you with that sweetened offer! Nothing in aviation is by chance especially from manufacturers and a profitable aircraft for them is the one in the hands of a customer. ATCL will learn the hard way that before breaking even with those B787,Boeing will be raking in cash at the expense of your operational efficiency.
Good luck!
yani umegonga broken hatari alafu unaongelea utumwa! πππ Ungeanza kwa kiswahili, ukamalizia kwa kiswahili. Yani ungeonekana bonge la HB. Ila saivi πthis is a golden chance, JPM do it b'couse never happen again ever, do'nt listen what's what jelous shout against, HOPE OUR DESTINATION LOOK GREAT AND PRECIOUS, watanzania tusiwe watumwa kamwe na mabeberu kifikra
Acheni bhana, thats personal. Nakumbuka secondari nilikua napata shida sana kutamka "mitochondria" ila A na B+ zilikua zinanihusu sana kwenye biology.Nimecheka sana audio yake anavyotaja entrepreneur
JUzi tu tumeomba kujengewa kilometa 10 kule Iringa?Of course yes ndege zote tumenunua cash
This Boeing agreement ni new chapter after seeing our cash purchasing power
Zinapoleta watalii direct package ya kutalii kule nje inakua na unafuu hivyo kuvutia watalii wengi ambao watafanya kampuni za tours kuwa bize, madereva, wahudumu hotel, wauza vinyago, waongoza watalii, nk kuwa na vipato na mwisho kukua kwa uchumi. Inahitaji elimu ya uchumi na kuzunguka nchi za wengine kuelewa maana yake hasaNdege zinatusaidia nini sasa
Heheeee kweli tubaki tu na hizi IDs feki coz usilolijua ni sawa na usiku wa gizaZinapoleta watalii direct package ya kutalii kule nje inakua na unafuu hivyo kuvutia watalii wengi ambao watafanya kampuni za tours kuwa bize, madereva, wahudumu hotel, wauza vinyago, waongoza watalii, nk kuwa na vipato na mwisho kukua kwa uchumi. Inahitaji elimu ya uchumi na kuzunguka nchi za wengine kuelewa maana yake hasa
Sio wore walio humu wamesoma.πππAti Nigeria ina watu 700 million??? Boss ulisomea mlango ya nyuma
Mkikosa ndege mnasema, mkipata mnasema. Hivi sisi tumekuwa watu wa aina gani!!?Ndege zinatusaidia nini sasa
nimekosea wana populationa over 200 million sasa atueleze 200m vs 10m kuna reflection ipi katika uchumiπππAti Nigeria ina watu 700 million??? Boss ulisomea mlango ya nyuma
umezungumzia nigeri vs UAE je populationa umeangalia????
nigeria ina watua zaidi ya 700 million
UAE haizidi watu zaidi ya 10 million
Ahaaa haaa haaa
Aisee pole na maumivu ya kushindwa kuandamana. Niliwaambia ya KUWA azma YENU ya kuwafanya waTanzania majuha haitatimia. Yale maandamao yalikuwa yakufikirika yaliyoandaliwa na na watu wa KUSADIKIKA ili yafanyike kwenye NCHI YENU ya KUSADIKIKA YA Insta.
Tukija kwenye mada, hasara kwa kipindi hiki cha mwanzo haikwepeki, kwa KUWA ATCL had 0 market share. It's in high time to penetrate the market which is strongly dominated by the private companies. Give time you see WHAT I mean.