Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Acha kupoteza muda kwa kutujazia sever, wewe kama maisha yamekuchanganya nenda kafie mbele, wewe ni mtu gani usiyekubaliana hata na taarifa za kidunia, una matatizo gani wewe, World Bank, IMF na UN reports kadha wa kadha zimeeleza hali halisi ya Tanzania, badala ya kutuletea hizo report hapa, unaleta kelele na takataka toka kwa akina Mtatiro na Mahanga, hivi una akili au una makamasi kichwani mwako?

Anatuletea hekaya.
Muache maana bado anaugulia maumivu ya maandamano ya NCHI ya KUSADIKIKA YA Insta.

CC: https://www.jamiiforums.com/members/bak.1397/ pole mambe kimangi (the goddess) atakusaidia utajisikia vizuri tena.
 
Utajiri mkubwa wa mafuta Nigeria lakini nchi hiyo kimaendeleo bado iko nyuma sana. Angalia UAE utajiri wa mafuta mkubwa jinsi ulivyoibadilisha nchi ile ndani ya miaka 25 tu.

Angalia Tanzania utajiri mkubwa wa rasilimali mbali mbali lakini mikataba ya kifisadi kila kukicha ambayo haina maslahi kwa Watanzania kwa miaka nenda miaka rudi.

Madini ya Tanzanet yanapatikana Tanzania tu lakini India inaongoza kwa mapato ya Tanzanet, ikifuatiwa na USA, kisha Kenya halafu ndiyo sisi! Sijui kama huu si ushithole country ni kitu gani!!!!

Dhahabu, Almasi, gesi, uranium na rasilimali nyingine chungu nzima zote hizi kwa miaka 57 ya uhuru.

Kila kitu chetu ni shakalabaghala, elimu, miundo mbinu, hospitali zetu, ajira, mishahara pamoja na utajiri mkubwa sana wa rasilimali.

Mkapa mwizi na fisadi, Kikwete mwizi na fisadi na Magufuli naye ni mwizi na fisadi na ushahidi kwa wote hawa upo wa kutosha tu kuweza kuwapandisha kizimbani lakini wahalifu hawa wanalindana miaka nenda miaka rudi huku wakijilimbikizia mali kwa njia haramu na nchi ikibaki nyuma kimaendeleo.

Huu ni mwaka wa tatu unaingia Wafanyakazi wa Serikali nchini hawana nyongeza ya mshahara, sasa wanaambiwa wasubiri eti mpaka miradi mikubwa yote ikamilike!!!! Wakati huo huo wiki chache zilizopita tuliambiwa Serikali ina pesa nyingi sana!!! Pesa ya kufanya yale yasiyo na tija kwa Taifa ipo lakini kwa nyongeza ya mishahara kwa Wafanyakazi pesa HAKUNA!!!





Sasa hivi nchi inaendeshwa kihuni huni tu! Bunge linadharauliwa, mahakama zinadharauliwa, sheria za nchi zinadharauliwa hata Viongozi wa dini nao wanadharauliwa kumbuka waraka wa Maaskofu.



Mambo ni kidikteta dikteta tu! Halafu unashangaa tukiitwa shithole countries!!!! TUJITATHMINI ILI TUBADILIKE NA KUONYESHA KWAMBA tunaweza kubadilika badala ya kuendelea kuwapigia makofi wahalifu wanaojifanya ni Viongozi.

umezungumzia nigeri vs UAE je populationa umeangalia????

nigeria ina watua zaidi ya 700 million

UAE haizidi watu zaidi ya 10 million
 
Ndugu zangu watanzania kuna Mapunga humu ya kitanzania hasa mabeba box ,yameshajiona mazungu hivyo kila afanyacho Magufuli yatapinga

Nashauri yapuuzeni
 
Hilo shiriki likiendeshwa kiufanisi basi hizo ndege zitakuwa na faida kubwa mno, kama ilivyo shirika la Ethiopian.

Ila likiendeshwa kwa matamko ya kisiasa kila aliyechaguliwa wa jengo la kule Dodoma anatoa tamko juu ya hilo akijisikia, ilimradi aonekane kaongea. Awamu ya tano haishi litaporomoka na ndege zitabaki makopo tu ya kuonesha wageni
 
Kama hujui, that's one way of Boeing leasing to you indirect and having a stranglehold on you with that sweetened offer! Nothing in aviation is by chance especially from manufacturers and a profitable aircraft for them is the one in the hands of a customer. ATCL will learn the hard way that before breaking even with those B787,Boeing will be raking in cash at the expense of your operational efficiency.
Good luck!
Straight from my mind! Are you psychic?
 
this is a golden chance, JPM do it b'couse never happen again ever, do'nt listen what's what jelous shout against, HOPE OUR DESTINATION LOOK GREAT AND PRECIOUS, watanzania tusiwe watumwa kamwe na mabeberu kifikra
yani umegonga broken hatari alafu unaongelea utumwa! 😀😀😀 Ungeanza kwa kiswahili, ukamalizia kwa kiswahili. Yani ungeonekana bonge la HB. Ila saivi 🙁
 
Nimecheka sana audio yake anavyotaja entrepreneur
Acheni bhana, thats personal. Nakumbuka secondari nilikua napata shida sana kutamka "mitochondria" ila A na B+ zilikua zinanihusu sana kwenye biology.
Cut him some slack.......
 
Ndege zinatusaidia nini sasa
Zinapoleta watalii direct package ya kutalii kule nje inakua na unafuu hivyo kuvutia watalii wengi ambao watafanya kampuni za tours kuwa bize, madereva, wahudumu hotel, wauza vinyago, waongoza watalii, nk kuwa na vipato na mwisho kukua kwa uchumi. Inahitaji elimu ya uchumi na kuzunguka nchi za wengine kuelewa maana yake hasa
 
Zinapoleta watalii direct package ya kutalii kule nje inakua na unafuu hivyo kuvutia watalii wengi ambao watafanya kampuni za tours kuwa bize, madereva, wahudumu hotel, wauza vinyago, waongoza watalii, nk kuwa na vipato na mwisho kukua kwa uchumi. Inahitaji elimu ya uchumi na kuzunguka nchi za wengine kuelewa maana yake hasa
Heheeee kweli tubaki tu na hizi IDs feki coz usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Ndege zinatusaidia nini sasa
Mkikosa ndege mnasema, mkipata mnasema. Hivi sisi tumekuwa watu wa aina gani!!?

Juzi juzi hapa niliona thread moja watu wakiisifia KQ kwa kuwa na direct flight to USA na hvyo kuwa rahisi kuteka soko la watalii EA.

Leo na ssi tunakwenda mwelekeo ule tena kwa kasi zaidi, watu wanaweza! Kweli Utz kazi!
 
umezungumzia nigeri vs UAE je populationa umeangalia????

nigeria ina watua zaidi ya 700 million

UAE haizidi watu zaidi ya 10 million

Are you for real and serious with this? Seems you were a familiar stranger in some makeshift school!
 
MMBURULA mwingine huyu!!!! Watanzania wenye uwezo wa kusafiri kwa ndege ni wachache sana hawafiki hata 5% ya Watanzania wote hivyo hizo ndege zitakuwa zinasafiri tupu majority of the time therefore forget about the possibility of making profits. ATCL is a loss making company for so many years to come, in TANZANIA there is no MARKET TO PENETRATE.

Ahaaa haaa haaa
Aisee pole na maumivu ya kushindwa kuandamana. Niliwaambia ya KUWA azma YENU ya kuwafanya waTanzania majuha haitatimia. Yale maandamao yalikuwa yakufikirika yaliyoandaliwa na na watu wa KUSADIKIKA ili yafanyike kwenye NCHI YENU ya KUSADIKIKA YA Insta.

Tukija kwenye mada, hasara kwa kipindi hiki cha mwanzo haikwepeki, kwa KUWA ATCL had 0 market share. It's in high time to penetrate the market which is strongly dominated by the private companies. Give time you see WHAT I mean.
 
Back
Top Bottom