dua la kuku halimpati mwewe hehehe chuki zako hapa zimedunda kilaza weweπππππWanadhani serikali itakua ikitoa pesa kila mara kununulia shirika ndege. After ndege za Kwanza serikali itataka kuona faida which will not happen. Finally ATCL itarudi pale pale juu ya mawe.
View attachment 764272
kumbe hii ndo taka taka ya yule mjinga.....Walikuwa na haraka ili lije kitaa,halafu mhariri si ni musiba yule kilaza???
JPM kila mahali anapoenda anachukua smart deals, iwe uganda, rwanda, israel etc..Yaani nikama Trump alivyo andika kwa kitabu chake "The art of the Deal"magu anawaumiza kichwa sana πππππ
Hawa watu hawajui aircraft purchasing processhuyo achana nae anawivu sana huyo kilaza anajitia mjuaji sanaπππππ
kanunua ndege 6 cash na zote zishalipiwa sasa ya saba boeing wenyewe wametoa offer kwa serekali we kinachokuuma ni offer au nini sijakuelewa???πππππππDeni pekee ndo hulipwa in installments, Ndege ni ya deni kubali matokeo.
Huyo ni Dr. David Ndii, huyu jamaa ni mchumi mzuri sana I wish Tanzania ingepata mtu kama huyu, ni matumaini yangu kwamba JPM angemuingiza serikalini pamoja na kwamba yupo chama pinzani. Tatizo la hawa wakenya, wanatanguliza siasa mbele na mambo ya uchumi wanayaweka nyuma, hii ni kutokana na kwamba, ukabila ndio unaoelekeza siaza za Kenya.fantastic point hehehe wanadhani hio offer watapewa wao watu wenyewe wanakopa loan kulipa loan ndio economy yao ilipofikaππππππ kuna mchumi wao mmoja alisema wakamuona kilaza aliwaambia kenya inakopa sana for consumption and not developmentsπππππ
Anything to deal with installments hio ni deni. Mbona mnaskia ugumu kukubali hehehe stop sugar coating sijui post payment na pre payment.Ndege tunanunua cash but with changed option badala ya prepayment ni post payment
Jamaa huwa tu ako ako. Hajielewi, haelewi kinachojadiliwa lakini anataka akue main contributor. Yaani sisi tunaongelea vile mwishowe wamechukua ndege kwa deni na yeye anatuambia eti sii bure. Ujinga hauna tiba.ππDeni pekee ndo hulipwa in installments, Ndege ni ya deni kubali matokeo.
yani mtu hajui maana ya installments hehe alaf anajiita engineer hehehπππππ yani kinachowauma ni serekali kupewa offer na boeing...ila magu kiboko aisee anawauliza usiku na mchanaππππHawa watu hawajui aircraft purchasing process
Ndege kubwa kama Boeing inachukua mpaka mwaka mmoja kukamilika kutokana na order nyingine za clients wao
Sasa badala ya serikali kulipa billion 300 kisha ikae mwaka ndio ipate product
Boeing wamesema watatengeneza ndege ikikamilika ndio serikali itailipia so hapo kibiashara ni great decision sababu pesa inatakiwa izunguke na serikali itaweza kukusanya pesa taratibu badala ya kulipa huge amount of money on the spot
Boeing zote hizo ni deni, boeing sio tuktuk msee.kanunua ndege 6 cash na zote zishalipiwa sasa ya saba boeing wenyewe wametoa offer kwa serekali we kinachokuuma ni offer au nini sijakuelewa???πππππππ
Yeah,kazi yake kuramba ramba nyendo za bashitekumbe hii ndo taka taka ya yule mjinga.....
Uwekezaji wowote mkubwa uiachukua muda kuja kuona faida zake hasa kwenye faida za kiuchumi.Ndege zinatusaidia nini sasa
baada tya kununua ndege 6 cash kapewa offer we unaumizwa na offer??hehehe sasa tuoneshe wapi kq imenunua ndege moja tu cash ukileta hapa nazaa na weweππππππππππππJamaa huwa tu ako ako. Hajielewi, haelewi kinachojadiliwa lakini anataka akue main contributor. Yaani sisi tunaongelea vile mwishowe wamechukua ndege kwa deni na yeye anatuambia eti sii bure. Ujinga hauna tiba.ππ
Ni vizuri sometimes kuficha ujinga..Eti Mtu tena engineer anafikiria kununua ndege nikama kununua soda kwa duka. Anataka JPM aende Boeing na cash, mwenye duka atafute ndege kwa store yake, aipanguze panguze amkabidhi πyani mtu hajui maana ya installments hehe alaf anajiita engineer hehehπππππ yani kinachowauma ni serekali kupewa offer na boeing...ila magu kiboko aisee anawauliza usiku na mchanaππππ
Aircraft purchase should be cleared while in the making sio biashara ya dagaa, you know nothingAnything to deal with installments hio ni deni. Mbona mnaskia ugumu kukubali hehehe stop sugar coating sijui post payment na pre payment.
Hapa ndo unaelewa kua serikali ya Jiwe ni ya ajabu, sijui lengo lake nini?Boeing imeingia makubaliano maalum na serikali ya Tanzania katika sector ya anga kwa kuingia special offer agreement kwa kutengenezea AirTanzania ndege bila masharti ya kawaida ya company hiyo
Inajulikana kwamba huwezi kupata ndege mpaka ufanye prepayments of more than half of the total price of the particular aircraft hili ni kwa manufacturers wote wa aircrafts around the globe
Hali imekua tofauti kwa case ya Tanzania na Boeing ambapo Boeing wamepeleka offers zao kwa serikali ya Tanzania kwa kuiahidi kutengenezea ndege zake bila kulipa prepayments zozote na hiyo wameanza na hii Boeing 787-8 ya pili ambayo ipo under the construction now
Ni baada ya Boeing kuona promising huge market ya aviation Tanzania na revolution ya aviation sector hapa Tanzania kuanzia ujenzi wa Airports na Radars pamoja na move ya JPM
Vivaaa JPM
Vivaaa Tanzania
Vivaaa AirTanzania
View attachment 764258
Ukiona hivyo ujue mwandishi, mhariri na mchapishaji ni huyohuyo mtu mmoja.... anaitwa Cyprian MusibaNGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??