Boeing kuliinua zaidi AirTanzania yatoa ndege kwa Fujo kwa AirTanzania

Ni UTALII sio UTARII.
Kwahiyo unamaanisha ndege ndio itatumika kutangazia watalii waje? Zanzibar umaarufu wake nje umejulikana na ndege?? Kwahiyo kila nchi inatangaza utalii wake kwa ndege.

Hiyo miundombinu unayosema ni ya anga au? Kwenye anga wanapita watu wangapi kulinganisha na ardhini ukiondoa wachawi? Bibi yangu kijijini hiyo miundombinu ya anga itamsadia nini wakati mvua ikinyesha hata hosptali hapafikiki.
 
Nasisi tunaitaji ndege sije mpaka uku kiraracha, nasisi tuendelee a see babangu.
 
Nilitaka kusema jamvi la wageni lakini nafuta kauli...
 
Na wasiwasi na IQ yako but sorry I can't argue with people like you.So yesterday and even you can't see what is going on EAC.
Hebu muulize Mr.van alianza kutafuta pesa
Ndo akakununua ww au alianza kukununua ndo akatafuta pesa..?
 
Na wasiwasi na IQ yako but sorry I can't argue with people like you.So yesterday and even you can't see what is going on EAC.
Hebu muulize Mr.van alianza kutafuta pesa
Ndo akakununua ww au alianza kukununua ndo akatafuta pesa..?
Naona umeishiwa facts unaenda kwenye dhihaka.
Unataka ujue IQ yangu ili ikusaidie nini labda. Na Mr. Van anahusikaje hapa?

Sikia wewe nilikutuma u qoute comment yangu. Ulikua kichwani kwangu mpaka ujue nilichokua nawaza au umekurupuka usingizini. Kuna mahali nimeongelea EAC?? Wewe mwenye iq kubwa mbona huwez kutofautisha kati ya utalii na utarii. SMFH watu wengine mpoje
 
Naisaidia kwa kodi zangu. Haya na wewe unaisaidia na nini
Basi tafuta namna ambayo utaona ndege hizo zinakusaidia, ukishindwa achana nazo zitawasaidia wengine walioona uwepo wa hizo ndege kuwa ni fursa mojawapo kwa maendeleo yao.
 
Basi tafuta namna ambayo utaona ndege hizo zinakusaidia, ukishindwa achana nazo zitawasaidia wengine walioona uwepo wa hizo ndege kuwa ni fursa mojawapo kwa maendeleo yao.
Ndio maana mimi na wenzangu ambao hazitusaidii nimetoa comment kwa niaba yao. Wala sijasema mtu asipande ndege.
 
Dada yetu wewe upo mbali sana na duniani kwa kweli, sina uhakika kama kuna mtu anayeweza kukusaidia kukuelewesha dunia inavyokwenda, ila kwa kifupi tu, nchi ni kama mwili wa binadamu, wakati wa kukua kwa mwili, lazima ukue mwili mzima, hauchagui kwamba kwasababu tumbo, au mkono ni muhimu zaidi kuliko bega, kwahiyo bega lisubiri kwanza vianze kukua viungo unavyodhani ni muhimu zaidi.
 
Kwahiyo wewe ambaye upo karibu na dunia maendeleo ni ndege. Basi tuseme sawa
 
we unajua maana ya installments au??? shule ukilipa ada yako kwa installments inamaana umesoma bure??? ujinga hauwez kutoka au sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
eti wao wana elimu bora!!mi nasoma tu post zao halafu nasema hiiiiiiiiii
 
Kwahiyo wewe ambaye upo karibu na dunia maendeleo ni ndege. Basi tuseme sawa
Ndiyo sababu nikakupa mfano wa mwili, lazima vitu vyote viendelee kwa pamoja, japo kucha sio muhimu sana kwa bahadhi ya watu, au wengine ndevu tunazinyoa, lakini ni sehemu ya mwili. Wakati mimi ninadhani kucha sio muhimu, inawezekana kuna kundi kubwa wanagharimika kuzitunza au kununua kucha bandia, tafadhali sana usiwe na mtazamo finyu wa kuona kile unachodhani wewe ni muhimu basi watu wote wanakipa umuhimu sawa, au unachodhani sio muhimu, wote wanaona hivyo, bora uwe una balance maeneo yote.
 
Hiyo balance ya kote iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…