Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni UTALII sio UTARII.Ukishauliza swali ndege zinatusaidia nn inaonesha hata kwa nchi jirani(Kenya na Rwanda) umeshindwa kujifunza.
Nchi yetu mungu ametujalia sana tunauwezo wa kuwekeza katika miundumbinu ya utarii tu na tukaweza kuingiza more than 50% ya pato lote .
Kenya hawana vivutio vya utarii lakini wanatumia Kenya airway kuleta watalii nchini kwao mfano wakidai mlima Kilimanjaro upo kwao and they are making a lot of money.
So lazima tutafute namna ya ketengeneza miundombinu ya kuingiza pesa ,then tuje kwenye social services
Hata katika maisha ya kawaida huwa tunaanza kutengeneza miundombinu ya biashara then .....ndo tunajenga sehemu zakuishi na kuweka umeme na maji safi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Na wasiwasi na IQ yako but sorry I can't argue with people like you.So yesterday and even you can't see what is going on EAC.Ni UTALII sio UTARII.
Kwahiyo unamaanisha ndege ndio itatumika kutangazia watalii waje? Zanzibar umaarufu wake nje umejulikana na ndege?? Kwahiyo kila nchi inatangaza utalii wake kwa ndege.
Hiyo miundombinu unayosema ni ya anga au? Kwenye anga wanapita watu wangapi kulinganisha na ardhini ukiondoa wachawi? Bibi yangu kijijini hiyo miundombinu ya anga itamsadia nini wakati mvua ikinyesha hata hosptali hapafikiki.
Vyovyote utakavyotaka zikusaidie.Ndege zinatusaidia nini sasa
Naona umeishiwa facts unaenda kwenye dhihaka.Na wasiwasi na IQ yako but sorry I can't argue with people like you.So yesterday and even you can't see what is going on EAC.
Hebu muulize Mr.van alianza kutafuta pesa
Ndo akakununua ww au alianza kukununua ndo akatafuta pesa..?
Naisaidia kwa kodi zangu. Haya na wewe unaisaidia na niniVyovyote utakavyotaka zikusaidie.
Kwani wewe Tanzania unaisaidia nini sasa?
Basi tafuta namna ambayo utaona ndege hizo zinakusaidia, ukishindwa achana nazo zitawasaidia wengine walioona uwepo wa hizo ndege kuwa ni fursa mojawapo kwa maendeleo yao.Naisaidia kwa kodi zangu. Haya na wewe unaisaidia na nini
Mimi pia nimeshangaa kuona kampuni inaitwa Boing.....ni kampuni ya kutengeneza NgegeNGEGE ndo kitu gn......yn gaazeti linapita kwenye macho ya mwandishi......linakuja kwa editor...mpka mhariri wa gazeti ndo linakuja sis tulisome likiwa hivo!!??
Ndio maana mimi na wenzangu ambao hazitusaidii nimetoa comment kwa niaba yao. Wala sijasema mtu asipande ndege.Basi tafuta namna ambayo utaona ndege hizo zinakusaidia, ukishindwa achana nazo zitawasaidia wengine walioona uwepo wa hizo ndege kuwa ni fursa mojawapo kwa maendeleo yao.
[emoji2][emoji2][emoji2] wana haraka ya kusifia serikali yao mpka wana chapiaMimi pia nimeshangaa kuona kampuni inaitwa Boing.....ni kampuni ya kutengeneza Ngege
Dada yetu wewe upo mbali sana na duniani kwa kweli, sina uhakika kama kuna mtu anayeweza kukusaidia kukuelewesha dunia inavyokwenda, ila kwa kifupi tu, nchi ni kama mwili wa binadamu, wakati wa kukua kwa mwili, lazima ukue mwili mzima, hauchagui kwamba kwasababu tumbo, au mkono ni muhimu zaidi kuliko bega, kwahiyo bega lisubiri kwanza vianze kukua viungo unavyodhani ni muhimu zaidi.Ni UTALII sio UTARII.
Kwahiyo unamaanisha ndege ndio itatumika kutangazia watalii waje? Zanzibar umaarufu wake nje umejulikana na ndege?? Kwahiyo kila nchi inatangaza utalii wake kwa ndege.
Hiyo miundombinu unayosema ni ya anga au? Kwenye anga wanapita watu wangapi kulinganisha na ardhini ukiondoa wachawi? Bibi yangu kijijini hiyo miundombinu ya anga itamsadia nini wakati mvua ikinyesha hata hosptali hapafikiki.
Kwahiyo wewe ambaye upo karibu na dunia maendeleo ni ndege. Basi tuseme sawaDada yetu wewe upo mbali sana na duniani kwa kweli, sina uhakika kama kuna mtu anayeweza kukusaidia kukuelewesha dunia inavyokwenda, ila kwa kifupi tu, nchi ni kama mwili wa binadamu, wakati wa kukua kwa mwili, lazima ukue mwili mzima, hauchagui kwamba kwasababu tumbo, au mkono ni muhimu zaidi kuliko bega, kwahiyo bega lisubiri kwanza vianze kukua viungo unavyodhani ni muhimu zaidi.
eti wao wana elimu bora!!mi nasoma tu post zao halafu nasema hiiiiiiiiiiwe unajua maana ya installments au??? shule ukilipa ada yako kwa installments inamaana umesoma bure??? ujinga hauwez kutoka au sio😀😀😀😀😀😀
ndo maana nasemaga we jamaa ni mbumbumbu wa kiwango cha juu sana!!Unajua tofauti ya kulipa in instalments na kulipa in cash?
Ndiyo sababu nikakupa mfano wa mwili, lazima vitu vyote viendelee kwa pamoja, japo kucha sio muhimu sana kwa bahadhi ya watu, au wengine ndevu tunazinyoa, lakini ni sehemu ya mwili. Wakati mimi ninadhani kucha sio muhimu, inawezekana kuna kundi kubwa wanagharimika kuzitunza au kununua kucha bandia, tafadhali sana usiwe na mtazamo finyu wa kuona kile unachodhani wewe ni muhimu basi watu wote wanakipa umuhimu sawa, au unachodhani sio muhimu, wote wanaona hivyo, bora uwe una balance maeneo yote.Kwahiyo wewe ambaye upo karibu na dunia maendeleo ni ndege. Basi tuseme sawa
Naisaidia kwa kodi zangu. Haya na wewe unaisaidia na nini
labda nikupe maarifa kidogo ethiopia ni nchi inayotegemea zaidi ndege kwenye uchumi wao😀😀😀😀Kwahiyo wewe ambaye upo karibu na dunia maendeleo ni ndege. Basi tuseme sawa
Hiyo balance ya kote iko wapi?Ndiyo sababu nikakupa mfano wa mwili, lazima vitu vyote viendelee kwa pamoja, japo kucha sio muhimu sana kwa bahadhi ya watu, au wengine ndevu tunazinyoa, lakini ni sehemu ya mwili. Wakati mimi ninadhani kucha sio muhimu, inawezekana kuna kundi kubwa wanagharimika kuzitunza au kununua kucha bandia, tafadhali sana usiwe na mtazamo finyu wa kuona kile unachodhani wewe ni muhimu basi watu wote wanakipa umuhimu sawa, au unachodhani sio muhimu, wote wanaona hivyo, bora uwe una balance maeneo yote.
Watu wake wana hali gani?labda nikupe maarifa kidogo ethiopia ni nchi inayotegemea zaidi ndege kwenye uchumi wao😀😀😀😀