Mkate 250/-? Kweli Zanzibar ni Jamhuri huru! Huku Bara hata chapati ya bei hiyo haupati
Maisha yanazidi kuwa magumuKama boflo imepanda Bei "MWINYI HAFAI"
nakumbuka 2009 nilikwenda Zanzibar ulikuwa 100.
Ila ukila mkavu unaweza kutoka JINO[emoji1787][emoji1787].
Ugali unanenepesha matako/kiuno kwa wanaume si mzuriKuleni ugali nyie muwe ngangari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ugali unanenepesha matako/kiuno kwa wanaume si mzuri
****Ndio maana mwanamke aliyeolewa wa visiwani akikutana na jabali la bara lazima achanganyikiwe.Ugali unanenepesha matako/kiuno kwa wanaume si mzuri
Usifanyeeee hiiiiiivyoooooooo boflo jamani