Boflo yapanda bei Zanzibar

Boflo yapanda bei Zanzibar

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
Watu wa ukumbi huu napenda kuwapa habari tu kuwa mkate maarufu kule Zanzibar unajulikana kwa jina la Mkate wa Boflo sasa umepanda bei kutoka Tshs 200/= hadi Tshs 250/= kwa mkate 1 kwa wale wanaonunua reja reja.

Mtakumbuka kwamba Mkate wa boflo kwa maisha ya kule Zanzibar ni mkatae ambao karibu kwa asilimia 90 ya Wazanzibari hulalia na kuamkia mkate huu, kama hujaununua asubuhi basi jioni na usiku lazima utaununua tu.



bread.jpg

 
Hilo boflooo ulipate na supu ya chuchunge halafu nipate papuchi kutoka bara hatari sanam
 
Back
Top Bottom