Udugu Feki
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 182
- 153
Vipi kuhusu Wala ugariSidhani kama wanaipenda kwa shati, ni hali ya kipato chao huwalazimisha kula boflo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu Wala ugariSidhani kama wanaipenda kwa shati, ni hali ya kipato chao huwalazimisha kula boflo
2019 ulikuwa sh 100.Sasa mkuu 250/= si ni sawa na chapati moja huku Tanganyika?? au vitumbua 2 au maandazi 2?
Ukila mkavu.Ni mgumu?
Bara chapati quality ni 500, chapati pweza ndiyo 300.Mkate 250/-? Kweli Zanzibar ni Jamhuri huru! Huku Bara hata chapati ya bei hiyo haupati
ugali unanenepesha kiuno ndio mana bongo ata wanaume wanaota kiunondo maana wako legelege Sana,maisha ya mkate duuuh.
Huo unaouzwa 1000 bara HukuOngezeko la 50 nalo linalalamikiwa, huo mkate unauzwa 1000 mainland
Mdebwedoni😅Nimeshangaa sana....
Hivi huko mdebwedoni bado mnatumia fyu..😲
We choko huku nako upo,, kwani na we kwenu zenji![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nan kakuambia? Zanzibar maisha yapo juu Sana, huwez amini ni kisiwa Ila idadi kubwa ya wananchi wanashindia dagaa tonge au la kuosha minofu ya samaki haishikiki na wengine wanaona Bora wakawauzie watalii tu kwenye ma hotel makubwa,Maisha bado yapo chini sana kule
ata wewe umezaliwa.,Na ukanda huo ndio wanaongoza kwa kua na mke zaidi ya mmoja na watoto wengi.
wabongo wameota viuno kwa ugali ndio shida yake si mzuri kwa wanaumeMwingine anakwambia uanaume ni kula ugali. Unabaki kushangaa ni uanaume kweli au uroho tu
Wakati huo ulikuwa na miaka mingapi? Kwa Sasa miaka yako iko vilevile?Zamani ulikua 50
duh mimi hizo chenga labda nipikie kitu kingine lakini sio kuzila kavu kavu afadhali hio mikate ingekua milaini shida ni huo ugumu na wenyewe wameshazoea
Kaka punguza hasira [emoji113]Na mnavyotaka muungano uvunjike maanina nyie na kijiji chenu hicho hilo boflo mtalinunua buku
Nyie wadwanzi tu,, mie nawajua, nishakaa na nyieKaka punguza hasira [emoji113]
Walikutatulia shida zako zote za nyuma sivo ? [emoji23][emoji23]Nyie wadwanzi tu,, mie nawajua, nishakaa na nyie
Ugali unanenepesha matako/kiuno kwa wanaume si mzuri