SahihiPossibly Samia na Kikwete wana operation ya kupambana na ukristo.
Ni mikwala lakini ni ujinga wa hali ya juu. Kna mambo mengine hata kama unafanya kama kutishia lakini athari zake zinakwenda mbali.. Mimi simlaumu huyu, ni mjinga asiyejitambua, lakini nawalaumu hao waliomtuma.Sheikh Mwaipopo ni mchumia tumbo tu ,hana lolote ,amekuja kutisha raia ,tulimwambia hao mbwa mwitu wake mbona 70% mteja ,naona ameanza kuwafunikoa sura.
View attachment 3622965
Mna intelligence ya kutosha, wakamateni wapelekeni mahakamani.Vipi na yale makundi yenu ya kuchoma vituo vya mafuta na wizi wa mali za watu mliyoaanzisha October 29 , mliyaanzisha kama makundi gani au waimba kwaya kwenye kanisa la padre kitime?
Wanakamatwaje wakati ni wanamgambo wa CCM na wana baraka zote hadi silaha wamepewa?Paka mda huu Mwapopo na wenzake walitakiwa wawe ndichii kitamboo na kupigwa popo kama lote
Hapa tulipofikia wakulaumiwa ni Mkwere.Possibly Samia na Kikwete wana operation ya kupambana na ukristo.
Hii nchi yangu inanisikitisha sana... hawa wakina maipopo kama bado wapo uraiani na kwenye vyombo vya habari ndio tunapata picha hii nchi nani anaiharibu. Naona aibuBoko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali.
Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo.
Msije kusema hatukusema.
View attachment 3622826
View attachment 3622824
Soma pia: The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul
Umenena Vema kabisa. Hiyo Mikiristo iliyomo Serikalini iko tu inasukumwa sukumwa. Hicho Kikundi kwa Sasa kinashabikia Serikali kwakuwa aliyeko juu ni mwenzao. Mambo yatakapopinduka kama ulivyo utaratibu wa Sisim usishangae akiwa hapo juu si mwenzao wakaanza kuigeuka Serikali na tayari waliisha achiwa wakajijenga kijeshi; ndiyo hiyo unayosema Boko Haramu ya TanzaniaBoko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali.
Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo.
Msije kusema hatukusema.
View attachment 3622826
View attachment 3622824
Soma pia: The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul
Ni kweli Sheikh Mwaipopo ametumwa na vyombo vya dola kupitia ABDUL ,ila ni kweli wa kualaumiwa ni Majeshi yetu kumtuma Mwaipopo kufanya ujinga ambao utaacha legacy mbaya.Ni mikwala lakini ni ujinga wa hali ya juu. Kna mambo mengine hata kama unafanya kama kutishia lakini athari zake zinakwenda mbali.. Mimi simlaumu huyu, ni mjinga asiyejitambua, lakini nawalaumu hao waliomtuma.
Gentleman unamjua sheikh Mwaipopomakamanda wa mihemko na kuporomosha matusi mmeufyata sasa, dah![]()
no gentleman,Gentleman unamjua sheikh Mwaipopo
Ni mwana CCM wa lumumbano gentleman,
ni wa wap?🐒
Boko kharam ni kikundi kinachofadhiliwa na serikali za Ulaya na Marekani ili kuhakikisha eneo la Sahel halina amani ya kudumu.Boko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali.
Ndilo kundi linalosakwa na Marekani leo.
Msije kusema hatukusema.
View attachment 3622826
View attachment 3622824
Soma pia: The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul