Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
so what, kwa mfano gentleman?Ni mwana CCM wa lumumba
ikiwa ni wa ufipa, Lumumba au jogoo hause magomeni?🐒
so what, kwa mfano gentleman?Ni mwana CCM wa lumumba
Habari za sasa zinaeleaza M23 ilianzihwa na Rais Mstafu wa DRCBoko Haram ilianzishwa mwaka 2002 mjini Maiduguri, Nigeria, na mhubiri wa kiislam mwenye msimamo mkali Sheikh Mohammed Yusuf. Hapo awali, lilifanya kazi kama vuguvugu la kidini baadaye likawa kundi la kihalifu linalochinja watu, lililoishinda serikali
Unaweza kuwa kweliBoko kharam ni kikundi kinachofadhiliwa na serikali za Ulaya na Marekani ili kuhakikisha eneo la Sahel halina amani ya kudumu.
Humjui Sheikh Mwaipopo mkuu kweli wewe haujali kuhusu amani ya nchi yako, maana huyo sheikh ameunda jeshi lake binafsi ili kuwatairi rai bila ganzi.no gentleman,
ni wa wap?🐒
simjui gentleman,Humjui Sheikh Mwaipopo mkuu kweli wewe haujali kuhusu amani ya nchi yako, maana huyo sheikh ameunda jeshi lake binafsi ili kuwatairi rai bila ganzi.
Ndio maana nikasema haujali kuhusu masuala ya amani wala usalama wa nchi, hilo jambo amefikishiwa hadi Muliro mbele ya waandishi wa habari sasa ajabu wewe unaita mambo madogo madogo.simjui gentleman,
huenda ni wa huko mtaani kwenu na mim muda mwingi nadeal na kufuatilia mambo ya msingi tu kitaifa na kimataifa, huenda sikua na muda wa kutosha kufuatilia mambo madogomadogo mitaani yasiyo na athari za jumla kitaifa 🐒