Boko Haram ilianza kama kikundi cha Mwaipopo kwa mgongo wa serikali ya Nigeria

Habari za sasa zinaeleaza M23 ilianzihwa na Rais Mstafu wa DRC
 
no gentleman,
ni wa wap?πŸ’
Humjui Sheikh Mwaipopo mkuu kweli wewe haujali kuhusu amani ya nchi yako, maana huyo sheikh ameunda jeshi lake binafsi ili kuwatairi rai bila ganzi.
 
Humjui Sheikh Mwaipopo mkuu kweli wewe haujali kuhusu amani ya nchi yako, maana huyo sheikh ameunda jeshi lake binafsi ili kuwatairi rai bila ganzi.
simjui gentleman,

huenda ni wa huko mtaani kwenu na mim muda mwingi nadeal na kufuatilia mambo ya msingi tu kitaifa na kimataifa, huenda sikua na muda wa kutosha kufuatilia mambo madogomadogo mitaani yasiyo na athari za jumla kitaifa πŸ’
 
Ndio maana nikasema haujali kuhusu masuala ya amani wala usalama wa nchi, hilo jambo amefikishiwa hadi Muliro mbele ya waandishi wa habari sasa ajabu wewe unaita mambo madogo madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…