Boko Haram waua wanajeshi 40 wa Chad

Boko Haram waua wanajeshi 40 wa Chad

Nani humu ndani ameunga mkono Boko haram!?
Au kwa chuki zako za kidini unafananisha mapigano ya Palestina na Boko haram!?
Aisee pole sana kwa hilo fuvu lako.
Bokoharam inatambulika kama magaidi kama wanavyotambulika Alshabaab.
Chad ni waislam ila wanawatambua Boko haram kama magaidi.
Punguza kuropoka.
Nilijua hauwezi kosekana🤣
 
Bro wengi. Umeijua Boko Haramu juzi? Kuna mtu humu (sijui kama yupo hadi leo ) alikua hadi anajiita Abubakari Shakau. Kwamba nachukia DINI ili inisaidie nini? Dini yenye chuki inajulikana duniani, I don't need to talk about it. The question remains, "Wanapigania nini hadi kuua wanajeshi tena kutoka nchi nyingine ambayo wala hawana ugomvi nayo"? Mipumbafu tu
Basi huyo anayeshabikia ugaidi ni mpumbavu.
Maana uislam haukubali ugaidi ndio maana hata hao Chad,Burkinafaso ambazo nchi za waislam wengi wanawachukia hao Bokoharam.
Bokoharam ni kikundi chenye maslahi yake binafsi kinachotumia mlengwa wa kidini.
Huwezi jiita wewe muislam halafu unateka wanawake.
Hii katika uislam haikubaliki.
 
I don't want to go into details about utekaji wa wanawake na Uislamu but the thing is, kwanini watumie DINI na baadhi ya watu wa dini yao wawaunge mkono? Na wanatajaga hadi AYA za kuhalalisha ushetani wao; sina kumbukumbu kama nimewahi kumsikia sheikh au kiongozi wa Kiislam popote akiwakemea hawa wanao haribu "dini ya mnyazimungu" but nawasikia mara nyingi wakipinga vitu ambavyo wala havina msingi, wala havina uhusiano na either wao au nchi.
 
Kwa hiyo hapo chad ni wamarekani wanaishi hapo? Hii dini ni laana ya dunia
Kwani wamarekani waliwahi kuishi Iraq Syria Afghanistan au Libya hio dini isio kua laana ya dunia mngeambiwa na mungu wenu papa mufirane
 
Boko Haram wako hata Tanzania wengine ndio nyie lakini sisi hatutavumilia huo upumbavu wenu ufanyieni tu huko Nigeria, Chad, Cameroon na Niger.
Hata wewe boko haram ila bado hujaota mbawa mimi sipo Tanzania tuheshmiane
 
I don't want to go into details about utekaji wa wanawake na Uislamu but the thing is, kwanini watumie DINI na baadhi ya watu wa dini yao wawaunge mkono? Na wanatajaga hadi AYA za kuhalalisha ushetani wao; sina kumbukumbu kama nimewahi kumsikia sheikh au kiongozi wa Kiislam popote akiwakemea hawa wanao haribu "dini ya mnyazimungu" but nawasikia mara nyingi wakipinga vitu ambavyo wala havina msingi, wala havina uhusiano na either wao au nchi.
Wazayuni wa jf mna matatizo sana kwamba mtu akiamua kuua halafu akasema Tanzania ama Kenya oye atakua katumwa na Tanzania mashekhe labda uwe hujafatilia na kama tuseme wakiwa hawajasema qur imesemaje
 
Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisini kwake.

Shambulio hilo limeripotiwa kutokea katika kisiwa cha Barkaram, eneo kubwa lenye mabwawa ambalo awali lilikuwa limefunikwa na maji ya Ziwa Chad kabla ya kupungua kwa ziwa hilo kwa kiasi kikubwa katika miongo ya hivi karibuni.

Soma pia:
Taarifa ya ikulu haikutaja washukiwa wa shambulio hilo la Jumapili, lakini eneo hilo liko karibu na mipaka ya Nigeria na Niger ambapo wanamgambo wa Kiislamu wanajulikana kufanya operesheni zao.
'wanamgambo wa Kiislamu wanajulikana kufanya operesheni zao'Kama wanajulikana kwanini hizo serikali haziwachukulii hatua,au wanataka wapate kichapo kama kile anachokifanya Israel kule Palestina na Lebanon...?
 
Back
Top Bottom