Nilisoma sehemu moja King khan ni mwanadamu anaejulikana zaidi kuliko Tom Cruise..nikakaaa nikauliza hapa nyumbani wangapi wanamjua Srk woteeee...Tom Cruise hayupo hata mmoja zaidi yangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!jibu nikalipata mwenyewe
πππππile ya kwako ya wahenga haswaa maana hawa ndo wakipindi hiki wanakuja juu!!!
Ndio yupi huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]peecee wanamuita Priyanka anajitahidi japo Mimi simkubali kivileee
Na wanajua kua ni jeuri balaaa....!!!nachowapenda wahindi hawababaishwi Sri devi alikataaga kufanya muvi kama supporting actor HUKO Hollywood!!!Kabeba sana tuzo na tena huyo mpuuz ndio hatar kawashika sana wazingu balaa, wanamjua
Lakin wahindi artist wao bora kula kwa sasa huwa inamuangukia.
Amir Khan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu.Niko na traffic ya Jim shergill
Bollywood wako vzr sana..nawapenda sana
Wakaka wengine Arjun Kapoor,Ranveer Singh
Sidhart malhotra
Varun Dhawan!
Aditya Pancholi
Wadada
Aliya that
Sara ali khan
Jhanvi kapoor(mtoto wa sri devi na boney kapoor)
Sara na jhanvi wamedebut last year
Anushka dharma
Shradhha kapoor
Athiya shetty
Disha Patani
Zarina Khan
Tapseee
Tammannah bhatia
Deepika Padukone
Sonam kapoor
Hawa ni wale waliozaliwa 1985 kuja juu huku
PeeCee ni Priyanka Chopra
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ile ya kwako ya wahenga haswaa maana hawa ndo wakipindi hiki wanakuja juu!!!
ππππππkaribu tupo wenyejiNdio mkuu.
Mimi mwanzo nilikua nakomaa na nchina pamoja na mjapan
Ni mkong'oto mwanzo mwisho.
Ila kwa sasa nimechoka kupigana kwa sababu za ukorofi
Nimekuja Bollywood
Sent using Jamii Forums mobile app
PeeCee ni Priyanka Chopra
Ila ulowataja bado wanaigiza pia japo wengine majukumu ya ndoa yamewazidi
Hahaaa....ndo jina lakeKumbe ni jina lake pia, halafu wewe bibie una kesi kubwa sana kwangu sijui utanilipa nini ili iishe
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππnakuelewa sanaa...John lever huyoo comedian mpk kesho!Indians na boliwood yao siwapendi siwapendi kama ambavyo hawanipendi....huwezi Ku hit sana kama unatokea kundi Fulani la jamiiiii
Kuna jamaa tulimwangalia tangu tukiwa watoto yeye anapangiwa scenes za ovyoovyo tuu kisa ana asili ya uweusi.....ili uhit boliwodi lazima utokee Tabaka fulani la wakaa Mumbai hahaaaaa tofauti na Hollywood any one can hit any time
Congo siyo Kongowe
Wew najua unapagawa na animation za mzungu, huo ni ujinga,
Wew yani maudhui mengi ya movie za kizungu huwa ni Animation za ajabu peke take.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa....ndo jina lake
Enhee kesi gani tena maana presha iko plus plus hapa
Yaani yule jamaa ilitakiwa awe tajiri kabisaa lakini mfumo wa kitabaka umemkaba vibaya...watoto wadogo wanamkuta ktk gemu wanatusua kisa tu ni tabaka la juu stupid Indian[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nakuelewa sanaa...John lever huyoo comedian mpk kesho!
Ila ulowataja bado wanaigiza pia japo wengine majukumu ya ndoa yamewazidi
Halafu wanawake muda wao kwenye muvi sio mwingi kama wanaume ujue kina SRK mpk Leo wanaigiza ila kina Madhuri ,juhi chawla kwa sasa wanaigiza wamama au hawapati nafasi kabisa
πππππππππumenifanya nicheke kama mwehu ujuee...Mimi nilikuwa nakutana na wewe jukwaani najua stranger tu leo si nikapita kule celebrity naona post ya zamani uliyocomment we mwanamke Mungu anakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry Sir.New movie,
The rock- Rampage.
Let me ask you,
Unajifunza kipi cha maana mbali na hzo animation?
Mm niliangalia hadi behind the scene yake.
Alisaidia nchi yake sawa, walitudanganya walivo mkuza yule nyani,
Alafu then nn ai upumbavu tu wanatupiga fix magorofa yanavo anguka.
Sent using Jamii Forums mobile app