Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Kabeba sana tuzo na tena huyo mpuuz ndio hatar kawashika sana wazingu balaa, wanamjua

Lakin wahindi artist wao bora kula kwa sasa huwa inamuangukia.

Amir Khan.
Nilisoma sehemu moja King khan ni mwanadamu anaejulikana zaidi kuliko Tom Cruise..nikakaaa nikauliza hapa nyumbani wangapi wanamjua Srk woteeee...Tom Cruise hayupo hata mmoja zaidi yangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!jibu nikalipata mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabeba sana tuzo na tena huyo mpuuz ndio hatar kawashika sana wazingu balaa, wanamjua

Lakin wahindi artist wao bora kula kwa sasa huwa inamuangukia.

Amir Khan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanajua kua ni jeuri balaaa....!!!nachowapenda wahindi hawababaishwi Sri devi alikataaga kufanya muvi kama supporting actor HUKO Hollywood!!!
 
Niko na traffic ya Jim shergill

Bollywood wako vzr sana..nawapenda sana

Wakaka wengine Arjun Kapoor,Ranveer Singh
Sidhart malhotra
Varun Dhawan!
Aditya Pancholi

Wadada
Aliya that
Sara ali khan
Jhanvi kapoor(mtoto wa sri devi na boney kapoor)
Sara na jhanvi wamedebut last year
Anushka dharma
Shradhha kapoor
Athiya shetty

Disha Patani
Zarina Khan
Tapseee
Tammannah bhatia
Deepika Padukone

Sonam kapoor
Hawa ni wale waliozaliwa 1985 kuja juu huku
Ndio mkuu.

Mimi mwanzo nilikua nakomaa na nchina pamoja na mjapan
Ni mkong'oto mwanzo mwisho.

Ila kwa sasa nimechoka kupigana kwa sababu za ukorofi

Nimekuja Bollywood

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Basi ndo maana nimeshindwa kuwajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ulowataja bado wanaigiza pia japo wengine majukumu ya ndoa yamewazidi
Halafu wanawake muda wao kwenye muvi sio mwingi kama wanaume ujue kina SRK mpk Leo wanaigiza ila kina Madhuri ,juhi chawla kwa sasa wanaigiza wamama au hawapati nafasi kabisa
 
Indians na boliwood yao siwapendi siwapendi kama ambavyo hawanipendi....huwezi Ku hit sana kama unatokea kundi Fulani la jamiiiii
Kuna jamaa tulimwangalia tangu tukiwa watoto yeye anapangiwa scenes za ovyoovyo tuu kisa ana asili ya uweusi.....ili uhit boliwodi lazima utokee Tabaka fulani la wakaa Mumbai hahaaaaa tofauti na Hollywood any one can hit any time

Congo siyo Kongowe
 
😀😀😀😀😀😀nakuelewa sanaa...John lever huyoo comedian mpk kesho!
 
Wew najua unapagawa na animation za mzungu, huo ni ujinga,
Wew yani maudhui mengi ya movie za kizungu huwa ni Animation za ajabu peke take.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe utakuwa una inferiority complex na wazungu mkuu,ila muhindi na mzungu ni vitu viwili tofauti ktk muvi,labda wanachoweza wao ni kuimbaimba tu kwenye muvi zao na si vinginevyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nakuelewa sanaa...John lever huyoo comedian mpk kesho!
Yaani yule jamaa ilitakiwa awe tajiri kabisaa lakini mfumo wa kitabaka umemkaba vibaya...watoto wadogo wanamkuta ktk gemu wanatusua kisa tu ni tabaka la juu stupid Indian

Congo siyo Kongowe
 
Yeah ni kweli kama mandhuri na juhi sijawaona kitambo kwenye movie
Ila ulowataja bado wanaigiza pia japo wengine majukumu ya ndoa yamewazidi
Halafu wanawake muda wao kwenye muvi sio mwingi kama wanaume ujue kina SRK mpk Leo wanaigiza ila kina Madhuri ,juhi chawla kwa sasa wanaigiza wamama au hawapati nafasi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikikosa wakorea naangalia wahindi ila majina ya movie zao kushika ni magumu asee nakumbuka tu Bodyguard na Three Idiots[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New movie,
The rock- Rampage.

Let me ask you,
Unajifunza kipi cha maana mbali na hzo animation?
Mm niliangalia hadi behind the scene yake.
Alisaidia nchi yake sawa, walitudanganya walivo mkuza yule nyani,
Alafu then nn ai upumbavu tu wanatupiga fix magorofa yanavo anguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry Sir.

I do have network problem here therefore i need to retype my post but lemme answer this first

Dude i had never been the Rock fan never i remember the last time to watch a film including him was fast and furious seven since there i did not watch any of his film therefore to tell you truth I know nothing about him generally.
 
Back
Top Bottom