Bollywood-mtazamo wako kwa filamu hizi

Mimi nikikosa wakorea naangalia wahindi ila majina ya movie zao kushika ni magumu asee nakumbuka tu Bodyguard na Three Idiots[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€looh!mi mwenyewe majina mengine siyajuagi naangalia msanii tu basi natazama muvi
 
Figisu figisu huwa zipo tu kila sehemu hata mbele pia zipo
Sema nilichogundua nikua hujui kitu gani kinakufanya uchukie bollywood movies
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani yule jamaa ilitakiwa awe tajiri kabisaa lakini mfumo wa kitabaka umemkaba vibaya...watoto wadogo wanamkuta ktk gemu wanatusua kisa tu ni tabaka la juu stupid Indian

Congo siyo Kongowe
Sanaa wahindi wabaguzi mnoo..sasa hivi anafanyaga stand up comedy naonaga matangazo yake kwenye TV
 
I always know SRK is king of romance movie in bollywood and Amir Khan is King of all Khan but I was totally wrong dah!.
 
I always know SRK is king of romance movie in bollywood and Amir Khan is King of all Khan but I was totally wrong dah!.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜€absolutely wrong broh!
Srk ndo kila kitu kwa wadada na watoto kwa wakaka mnyama Amir...

SRK ndo mpango mzima!!!
 
Natamani nikupe likes hata 200.
List ya wanaume umeitendea haki sana hasa hapo Tiger Shroff
Kuna mwingine anaitwa Laksh Lalwani(sterling kwenye PORUS)
Kwa wanawake nawakubali baadhi kama
Kajol na Catrina Kaif
Ila kati ya waigizaji wote duniani(wanawake) namkubali na kumpenda sana Suhani Dhanki, may be kwa kuwa anafanana sana na ubavu wangu(kaigiza Porus as Laachi.
Wazungu kwa bollywood wakasome tena.
Kama sio movie ya Kihindi bora niangalie TBC.
Live long Bharat
Live long Bollywood.
 
Kijana Mumbai ni kama dar ili utoke kisanaa lazima huishi Maharashastra hasa jiji la Mumbai na ukishakuwa star inakulazimu kuishi Mumbai kama wasanii wa Tz walivyojazana dar.
Watu kama SRK na Lakshi Lalwani hawajazaliwa Maharashastra lakini sasa hivi wanaishi huko.
Kuhusu huyo jamaa mweusi kupewa scene mbovu sababu kubwa yaweza kuwa mwonekano kwa mfano Hrish Kapoor alikuwa anacheza kama jambazi kwa sababu ya mwonekano.
Mwonekano wa SRK na Hrithik Roshan unawabeba kupewa nafasi ya juu(sterling) kwenye movie.
Karibu Bollywood.
 
Mimi siyo mgeni ktk bolliwood na najua ninachozungumza

Congo siyo Kongowe
 
Ni sawa
Hata Mm ni shabiki wa Van Disel, but hata yeye wa kawaida sana, sema namkubar kidogo huwa anaweza na love story kweny movie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ