Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Inategemea na kiwanja maana kitaamua sana kwenye idadi ya cement na nondo.kashauriwa aweke 60
Kila kitu inclusive, japo huo ni mfano nimetoa ukiangalia ubora wa mabati tofauti tofauti.Hizo ni gharama za fundi tu au ni pamoja na materials.
Nondo za size 12mm kwa Dar ni 22,500/=Nondo sjapata maesab ila naiwekea 1M
Bei ya tofali uliyotaja ya 1100 ni bei ya matofali ya inch 5Wakuu Salaam kwenu
Kwa mimi nikapanga hivi
Tofali 2500 @ 1100 = 2,750,000
Tofali 2500 hazimalizi hiyo nyumba kuanzia msingi hadi top course liwe bomaWakuu Salaam kwenu
Kwa mimi nikapanga hivi
Tofali 2500 @ 1100 = 2,750,000
8m boma? Bro una Utani na Ujenzi asee
Sijaona gharama za kokoto hapo!Wakuu Salaam kwenu
Kwa mimi nikapanga hivi
Tofali 2500 @ 1100 = 2,750,000
cement 50 @ 16,000 = 800,000
Mchanga fiat 2 @ 150,000 = 300,000
Nondo sjapata maesab ila naiwekea 1M
Ufundi. 2,500,000
jumla ni kama 7,350,000~ 8M
Wakuu 8M boma si linaisha bila utata wowote?
Nakarbisha Maoni, critics n.kView attachment 2629226
Kama ni boma tu kwa hiyo milioni 8 upo sahihi kabisa kwa hiyo ramani kama ulipatia vile....kuna usafiri wa material na maji na mbao za kushikia msingi na lenta ila upo exactly kabisa, ila fanya mil.8.5 tu.tena unaeza ukabak na chench
Hahaha tumuonee huruma hapo mixer ya zege tusiiweke, tufanye tu wasaidizi wa mafundi watachanganya wenyewe zege ili kupunguza gharama kwa kuwa sio ghorofa ni nyumba ya kawaida tuNondo anasema kaweka 1M
Kokoto?
Mbao/Marine za zege?
Ngoja kuna vijihesabu kama.
Maji,Mixer ya zege au
Mfuko wa Cement ni sh16000 wapi kaka?Wakuu Salaam kwenu
Kwa mimi nikapanga hivi
Tofali 2500 @ 1100 = 2,750,000
cement 50 @ 16,000 = 800,000
Mchanga fiat 2 @ 150,000 = 300,000
Nondo sjapata maesab ila naiwekea 1M
Ufundi. 2,500,000
jumla ni kama 7,350,000~ 8M
Wakuu 8M boma si linaisha bila utata wowote?
Nakarbisha Maoni, critics n.kView attachment 2629226
Kwanini inch 6 mkuu??Bei ya tofali uliyotaja ya 1100 ni bei ya matofali ya inch 5
Kwa ushauri wangu kwenye msingi tumia matofali ya inch 6 baada ya mkanda pandisha boma kwa hizo tofali za inch 5
DarMfuko wa Cement ni sh16000 wapi kaka?
Nyumba ni msingi,Kwanini inch 6 mkuu??
Tofali 2500 ni za kuinua boma (ignore roofing design). Foundation unatumia nini? Tofali 2500 zinakula mifuko ya saruji 32 roughly. 18 iliyobaki itatosha kwa foundation na zege?na mm nalenga hapo chini mpaka lenta bas kwa 8M kuna mtu kasem sitobii
Hizo steps akigonga mvua 70 ataweza kuzipanda kweli? Atashindwa kutoka ndani huyo!jamaa kaweka raman we tayar ushaijenga Unamletea picha kabsa[emoji23]
Jamaa ataoa ujenz ni simple asee
Huko vyumbani umefuga chatu? 😀😀Huwa mimi binafsi sipendi mgeni akinitembelea na akitaka kutumia choo/bafu apite koridoni ambako anakuwa anaona/access milango ya vyumba vyote.
Tunazungumzia Boma tu rejea titleDuuh ujenzi ungekuwa rahisi hivi kila mtu si angekuwa na nyumba, hiyo nyumba ya 8M kulingana na mahesabu yako haina mabati, mbao, misumari, kokoto, milango, madirisha bado finishing ya vikorokoro vingine au hivyo kwako ni anasa [emoji16][emoji16]