Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Inategemea na kiwanja maana kitaamua sana kwenye idadi ya cement na nondo.kashauriwa aweke 60
Kama kiwanja kina slope kitahitaji huenda mikanda miwili na nguzo za kutosha kwa ajili ya reinforcement au underground kwenye msingi hivyo kuongeza idadi ya cement
Na ndio maana tunashauri ramani ziwe na vipimo iwe rahisi kukadiria na mtu aeleze ikiwa kiwanja ni slope au tambarare