Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Inapendeza ushindani kama huu unaleta nafuu kwa mnunuziEeh biashara imekuwa hivyo siku hizi, kila mtu anapambana kwa namna yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapendeza ushindani kama huu unaleta nafuu kwa mnunuziEeh biashara imekuwa hivyo siku hizi, kila mtu anapambana kwa namna yake.
endelea kuota kijana....Wakuu 8M boma si linaisha bila utata wowote?
True yani, mfano kuna Kamaka, FMJ na jamaa wengine wanaitwa Shananga, ukilinganisha bei zao kama ni mdau wa ujenzi utapata materials at very low cost.Inapendeza ushindani kama huu unaleta nafuu kwa mnunuzi
Usimkatishe tamaa, courageendelea kuota kijana....
Hahaa inafikia wakati unashindwa kutofautisha nondo ya 12mm na 10mmKwa sababu wahindi wameruhusiwa wapo huru kufanya wanavyosikia. Sio nondo tu, Square/round pipes zilikuwa 20feet sasa hadi 18feet unapata, unapata hadi zenye 0.6mm thickness mkuu wakati standard zinatakiwa walau 1mm, yaani nchi hii tabu tupu, nondo za 12mm ukipima kwa vernier calliper ni around 10.8
Kwa mdau wa ujenzi hawa wadau ni muhimu sana kuwa na mawasiliano nao hawanaga longolongo kwenye discountTrue yani, mfano kuna Kamaka, FMJ na jamaa wengine wanaitwa Shananga, ukilinganisha bei zao kama ni mdau wa ujenzi utapata materials at very low cost.
simkatishi tamaa lakini anatakiwa kutengeneza bajeti ya kutosha ili aweze kufanikisha lengo lake.Usimkatishe tamaa, courage
..courage, anaihitaji sana hii ili afanye jambo.
Huko site si mchezo..ni kunabugia hela unaweza pata uchizi[emoji38][emoji38][emoji38]Wabongo kutishana mnooo. Ingia SITE kiongozi. Ukickiliza hapa hujengi
Hehehehe...ujenzi nuksi kuongea rahisi ila ingia mzigoni sasaendelea kuota kijana....
Site hakuihitaji courage kunahitaji helaaa[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]Usimkatishe tamaa, courage
..courage, anaihitaji sana hii ili afanye jambo.
Unaongea ukweli mkuu....kule kunahitaji pesa ya kutoshasimkatishi tamaa lakini anatakiwa kutengeneza bajeti ya kutosha ili aweze kufanikisha lengo lake.
Kuna baadhi huwa wanaambiwa utajenga kwa milioni 10 lakini anamaliza hiyo 10 hajafika po pote ndipo hapo anaanza kulalamika.
Kila kitu kinaanzia kichwani mama, unavyouset ubongo utakuelekeza huko huko.Site hakuihitaji courage kunahitaji helaaa[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
Mmmh hayaKila kitu kinaanzia kichwani mama, unavyouset ubongo utakuelekeza huko huko.
Ndio witty, yeye aende site na hiyo 8m mkononi, aanze na foundation....akishafunga mkanda atapata majibu kama inatosha au aongeze, ila hapo tayari msingi utakuwepo.[emoji28][emoji28]Mmmh haya