Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Big Up Mheshimiwa Cassim Majaliwa Kassim, Waziri Mkuu wa JMT.
Suala la bomba la mafuta toka Uganda kuelekea Tanga, inapitia kwa umbali mrefu zaidi nchini Tanzania.
Uchumi wa Tanzania utafaidika sana na ujenzi wa bomba hili, kwani kuna wananchi watafaidika moja kwa moja kwa kupata kazi na mafao mengine.
Zaidi ya hapo uchumi wa Tanzania utafaidika kwa vile hii ni biashara ambayo itawashirikisha wengi toka nje ya nchi na mataifa mengine zaidi ya Uganda na Tanzania.
Kelele tulizoona zinapigwa vikundi vya mazingira, hao ni wabaya wetu kimaendeleo.
Tumeona watu hao hao wakipinga kuondolewa wamasai mapori tengefu Loliondo na Ngorongoro.
Kumbe kuwa watu toka Kenya wanaingiza ng'ombe na kulisha/kunenepesha ng'ombe hao Tanzania.
Na hili la bomba la East African Crude Oil Pipeline(EACOP), wanaopinga ni wale wale waliokosa tender na sasa wanataka kuuvuruga mradi wenye faida kwa nchi zetu.
Mbaya zaidi ni mataifa ya Ulaya kulibebea bango suala hili, hili halijakaa vizuri.
Inabidi EU nao wajieleze kwa Watanzania na Waganda kwa nini hawataki nchi hizi ziendelee na kujitegemea.
Hivyo basi nampongeza sana Waziri Mkuu Kassim kwa kupigilia nyundo kuonyesha azama ya nchi zetu hizi kujitegemea kiuchumi kwa mradi huu.
Big up Bro Kassim Majaliwa!
WADAU WAMEANZA KUKUBALIANA NA MH. MAJALIWA