Bombardier iliyokuwa imeshikwa imeanza safari kutokea Canada to Tanzania.

Itawasili 31/03/2018 11:35 Asubui. Uwanja wa zamani karibuni nyote
 
We una roho mbaya ya wivu na uchawi, kafie mbele hukooo!! Rais wetu yuko vizuri, wapinzani uchwara jinyongeni kwa kuwa hamlitakii taifa mema.
Achana na me mbwea wewe!!
Vitu ambavyo ni wajibu wa rais kuvifanya cwez kuvisifia c anatimiza wajibu wake???
Tena chini ya chama lenu LA ajabu miaka 50+ Leo ndo mnaleta ndege????
 
We una roho mbaya ya wivu na uchawi, kafie mbele hukooo!! Rais wetu yuko vizuri, wapinzani uchwara jinyongeni kwa kuwa hamlitakii taifa mema.
Wakijinyonga maiti zao ndo itakuwa chakula ya mkeo au?
 
Hii Bombardier kwani inakuja na meli mbona haijawasili? Picha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…