Bombardier matatani konoike company wanaitaka wafungua kesi kutekeleza hukumu

bigboy blockchain

ukiona hivyo wanatapatapa vitu vya kukamata ujue wameshikwa pabaya. kwa nini wasikamate miaka iliyopita??
Ujue JPM Katoa kibano cha kufa mtu.
 
Kipindi hicho hakukuwa na mali ya kukamata maeneo waliyoyataja, hayakua na mali ya tanzania ya kukamata. Sasa kuna bombardier wanaona wasipoteze chance maana wasipoitumia sasa wataisoma namba
blockchain

ukiona hivyo wanatapatapa vitu vya kukamata ujue wameshikwa pabaya. kwa nini wasikamate miaka iliyopita??
Ujue JPM Katoa kibano cha kufa mtu.
 
Hivi yale makabrasha ya makinikia yalikuwa yanapelekwa wapi vile? Sio Japan?
Yale makinikia ni mali ya acacia na walieingia nae mkataba wa kumuuzia. Sio mali ya serikali yakishachimbwa na kampuni iliyopewa mamlaka ya kuyachimba. Sijui yanaendaga nchi gani?
 
Lakini walikuwa hawasemi ukweli walikuwa wanapata nini humo ndani ya makinikia. Mkataba ni wa kuchija dhahabu tuu, zaidi ya hapi sio mali yao. Wao kwa miaka 18 wamekuwa wanapata zaidi ya dhahabu lakini hawasemi. Na hiyo dhahabu hawasemi ukweli ni kiasi gani walikuwa wanapata ili wilipe kodi inayo stahili
 
Poleni mazee, hapa naona Kama wtz mmefanya hivi..View attachment 598338
Inabidi tuchill tuone yatakayojiri[emoji3] [emoji125] View attachment 598339
IMG-20170928-WA0018.jpg
 
mods vichwa kama hivi ndo vinatumalizia nafasi tu hapa.
 
Konoike company washafungua kesi kutekeleza hukumu ya kuichukua bombardier kutokana na kuvunjwa kwa mkataba na tanroad ya tanzania. Utaratibu wa kuizuia bombardier canada unaanza.
Source:the citizen tanzania, konoike Company
Bombadia nyingine au
 
Ndio vita ya kiuchumi hiyo, piga nikupige. Lakini sasa hivi hatucheki na kima
Vita ya uchumi ni mbaya more than you think..... Huwezi kushinda vita ya Kiuchumi hata siku moja na ukabaki salama isitoshe Tanzania bado ni nchi maskini bado tunatengemea misaada kutoka kwa hao wazungu.......

Tanzania kitu ambacho haita fanikiwa kupambana na vita ya uchumi raia kutokubaliana au kutokumunga mkono rais, hapa ndiyo wazungu wanapo pata mwanya wa kufanya yao kama kudaka hizo dreamliner...

Vita ya uchumi ni bora kupambana na vikundi vya waasi kuliko vita vya uchumi
 
Waje wapige mnada hata ikulu maana ishatiwa nuksi na vikao vya ccm!!
 
Vita ya uchumi ni mbaya more than you think..... Huwezi kushinda vita ya Kiuchumi hata siku moja na ukabaki salama isitoshe Tanzania bado ni nchi maskini bado tunatengemea misaada kutoka kwa hao wazungu.......

Tanzania kitu ambacho haita fanikiwa kupambana na vita ya uchumi raia kutokubaliana au kutokumunga mkono rais, hapa ndiyo wazungu wanapo pata mwanya wa kufanya yao kama kudaka hizo dreamliner...

Vita ya uchumi ni bora kupambana na vikundi vya waasi kuliko vita vya uchumi
iio vita tunapamban na nani? na tumeshinda ipi?
 
Kijakazi wa llumumba
 
Back
Top Bottom