Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungetafuta kwanza kujua kwa nini Simba ilishindwa kufikia muafaka na ATCL kisha ndio uje kuziweka wazi na kulaumu. Nafikiri, kama ambavyo umejitahidi kusikia kutoka Simba Fc, ni vema pia ungepata mrejesho ATCL. Let's be fair.Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.

Hayo madege ni bata mzinga.comrade hayo madege lini yataanza safari za nje
Wangeenda tu kukodi ndege za Kenya Airways, au hazikodishiki?Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
wameamua kulipa nauli, wewe hupendi?Wangeenda tu kukodi ndege za Kenya Airways, au hazikodishiki?
kila siku wanasema zitaenda india ila koona imekaba sanacomrade hayo madege lini yataanza safari za nje?
Nafikiri hilo ni wazo la kupeleka kwenye Bodi.Simba Next Level inabidi tununue ndege yetu tu aisee
Wee mama soma bandiko hilo ndio ukomenti..sio kutetea tu kila uchafu wa awamu ya 5..Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
I.eongea vitu vya kusikia tu au kwa hisia zako kumbe siyo hivyo.Kaka kununua Ndege ni tofauti kabisa na kununua gari kwamba ukishakata bima na "fire extinguisher" basi unaingia tu barabarani kwenda popote utakapo. Ndege ni kitu kingine bro!. Kwanza kabisa kabla hujaruhusiwa kutua kwenye viwanja vya wenzetu kuna taratibu nyingi ambazo lazima zipitiwe kufauru vigezo. Kuna maswala ya kuangalia uwezo wa ndege yenyewe, imenunuliwa wapi, uzoefu wa pilotswa nchi na kubwa zaidi na pengine kuhimu kuliko yote ni uzoefu wa shirika lenyewe la ndge kurusha ndege sehemu mbali mbali duniani (Hapo ndio tunakwama).Hata hivyo pamoja na kufauru vigezo vyoote lazima uwekwe kwenye mda wa uangalizi usiopunguwa miaka kadhaa kuangalia uwezo wa shirika lenu la ndege na menginevyo jinsi mtakavyoweza kuingia nchi za watu kwa usalama. Hii ni kutokana na tahadhari kubwa kutokana na aina ya usifiri wenyewe Sasa ni bahati mbaya sisi tulikurupuka kununua ndege mpya bila kufuata ushauri wa wataalam na waliotoa maaumzi aidha kwa kutokuwa na "exposure" au kwa makusudi walikurupuka kununua wakidhani wananunua magari ndio maana dream liner letu linaozea pale airport.
Walikataliwa kukodi?Wee mama soma bandiko hilo ndio ukomenti..sio kutetea tu kila uchafu wa awamu ya 5..
Pumbavu wewee.
Kaka hapa tunaongelea kuhusu Mchezo wa Mpira (Simba FC) na Kampuni ya ATCL na sio Siasa. Hebu tutumie weledi katika kujenga hoja na pia tuwe realistic. Iko hivi;wameamua kulipa nauli, wewe hupendi?
MATAGA kila kitu mpo negative tu.
Kwani zile Airbus mbili si zipo na zilinunuliwa kwa ajili ya regional routeBombadier haina uwezo wakufly Tz to Lagos ila BOEING 787-8 ambayo inabeba watu zaid ya 200 imebebe watu 20 kwenda Lagos mtalipishwa bei gan?
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
Serikali iache kufanya biashara, aielewi tu, kung'ang'ania kuendesha mashirika haya ni kutaka sifa tu na si faida, yauze hisa asilimia 75 au 100 na kujiondoa kiuendeshaji, na wabaki wakikusanya kodi tu!madege yanapata kutu hasara tupu kwa taifa.
UKIMSKIZA sometimes unapata tumbo na hedhi ghaflaNa jamaa anasema tutaongeza zingne kama tank hivi...
Kwani lazma lipate faida? Sisi tumenunua ndege kwa jeshi nani pesa yetu.Watendaji wa Atcl hawana ubunifu kabisa, walitia hasara shirika punde linaenda kufa cha mende
Atcl Hazina vibaliWaulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?