Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Umeuliza au kufanya utafiti kwanini hawakuenda na AIR TANZANIA au ndio zetu kwa mihemko au unafikiri ndege kama dala dala inaenda sehemu bila mamlaka uhusika ya masuala ya ANGA?
 
Ungetafuta kwanza kujua kwa nini Simba ilishindwa kufikia muafaka na ATCL kisha ndio uje kuziweka wazi na kulaumu. Nafikiri, kama ambavyo umejitahidi kusikia kutoka Simba Fc, ni vema pia ungepata mrejesho ATCL. Let's be fair.
 
Kwani ukiwa na Gari zako nzuri na tena ni nzima kabisa zimepaki katika Parking Lot yako na ukaamua Kukodi UBA au hata Bajaji ni tatizo Kijamii?
 
umeharibu uzi wako uliposema “CEO wa simba ambaye anasemekana so far ndio pisi kali Tanzania”
sasa ulitaka tuhonge ndege ? kisa ni mzuri ndio kigezo cha kusikilizwa ?
 
Wangeenda tu kukodi ndege za Kenya Airways, au hazikodishiki?
 
Mkuu,mindege ya dikteta magufuli ni mibovu sana
 
I.eongea vitu vya kusikia tu au kwa hisia zako kumbe siyo hivyo.

Mkuu document za ICAO na IATA zipo kibao huko mitandaoni kasome uujue ukweli.
 
wameamua kulipa nauli, wewe hupendi?

MATAGA kila kitu mpo negative tu.
Kaka hapa tunaongelea kuhusu Mchezo wa Mpira (Simba FC) na Kampuni ya ATCL na sio Siasa. Hebu tutumie weledi katika kujenga hoja na pia tuwe realistic. Iko hivi;

Mosi; kupitia kichwa cha habari binafsi niliweza kubaini lengo la Muandishi. Hebu tizama hapa, "Bombardier na Boieng ZIMEPAKI wakati Simba wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airlines. Kuna Ukweli hapa, la hasha! Ndege zetu hazijapaki, zinaendelea kutoa huduma ndani na nje ya nchi. Je Simba wamezuiwa KUTUMIA Bombardier/Boing za ATCL?

Pili, umeishutumu Kampuni ya ATCL na baadhi ya Watumishi wake hususan Kitengo cha Masoko "without any facts". Kiuhalisia, ulipaswa kufanya uchambuzi/utafiti kubaini sababu zilizopelekea kushindwa kufikiwa kwa makubaliano ya Kibiashara kati ya ATCL na Simba. Aidha, ungekuwa ktk mazingira mazuri ya kuilaumu ATCL endapo umebaini kwamba, Watumishi wake wametumia UTASHI Binafsi kukwamisha Klabu ya Simba kukodi ndege husika.

Tatu, hata mimi pasipo kunifahamu unanituhumu kuwa ni MATAGA simply kwa kuwa nimechallenge hoja yako!! Kwa kuwa tulikuwa tunazungumzia mchezo wa Mpira, nilidhani, Busara/Hekima ingekuongoza kunituhumu kwamba mimi ni Mshabiki wa Yanga(Mpinzani mkubwa wa Simba), Hata hivyo, kwa kuwa; lengo la awali la Post lilikuwa na Siasa ndani yake, Nimekuelewa vema.

Cheers.
 
Bombadier haina uwezo wakufly Tz to Lagos ila BOEING 787-8 ambayo inabeba watu zaid ya 200 imebebe watu 20 kwenda Lagos mtalipishwa bei gan?
Kwani zile Airbus mbili si zipo na zilinunuliwa kwa ajili ya regional route
 

Mambo mengine ukisikia maisha yanawasha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…