Kwa ufupi ukweli ni kwamba ndege zetu haziruhusiwi kutua Nigeria na duniani ( Kuliko endelea...) tuanzie hapo pengine kutamsaidia mtoa mada kuelewa kwanini Simba hawajapanda Bombadier au Dreamliner na ili kupata kibali sio zoezi rahisi hata kidogo (Kuna bureaucracy za kufa mtu)I.eongea vitu vya kusikia tu au kwa hisia zako kumbe siyo hivyo.
Mkuu document za ICAO na IATA zipo kibao huko mitandaoni kasome uujue ukweli.
Watendaji wa Atcl hawana ubunifu kabisa, walitia hasara shirika punde linaenda kufa cha mende
Hilo ndio jibu sahihi la nini kilichojitokeza.Kwa ufupi ukweli ni kwamba ndege zetu haziruhusiwi kutua Nigeria na duniani ( Kuliko endelea...) tuanzie hapo pengine kutamsaidia mtoa mada kulewa kwanini Simba hawajapanda Bombadier au Dreamliner na ili kupata kibali sio zoezi rahisi hata kidogo (Kuna bureaucracy za kufa mtu)
kuhamasisha nini?Kuhamasisha
Huyu ndio pisi kali!!???Kunogesha, ukipinga Barbara Gonzalez siyo pisi kali lete ya kwako , natural hair and skin tulinganishe japo hoja ni ATCL.View attachment 1633499
Wewe mstaafu hujaona amesema C. E. O wa Thimba amejaribu imeshindikana?Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
And the pain goes straight to the streets of BelgiumHii kwa vyovyote ni akili ilohusika na wizi wa kura...
Aliyekuloga usiwe na akili alikuweza!Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
Povu lote hili ni Simba kupanda ndege? mbona ni kawaida yao?Mkuu tambua atcl sio shirika la ndege la Mwamedi, haliwezi endeshwa Kama mnavyoendeshwa nyinyi
ππππUKIMSKIZA sometimes unapata tumbo na hedhi ghafla
Hopefully you are among the beneficiaries..And the pain goes straight to the streets of Belgium
Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
A loss making airline service. Its audit scheme is a security issue.Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
Labda wanaogopa ndege zao kukamatwa.Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.
Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
Samahani ndugu wateja kwa muda wote wa kipindi hiki ndege zetu zimejaa na hazitoweza kuvunja ratiba hatutaki mjadala!Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
Bombadier haina uwezo wakufly Tz to Lagos ila BOEING 787-8 ambayo inabeba watu zaid ya 200 imebebe watu 20 kwenda Lagos mtalipishwa bei gan?
Unajua maana ya marketing kwa taasisi zilizomakini? kitendo cha kupata taarifa kua Simba wanataka kusafiri kwenda Abuja ilitosha kwa Atcl kuwafuata ili wafanye biashara siyo Simba mteja kumfuata Atcl.Ishu sio bandiko, ukweli wa hayo ayasemayo. Zitolewe details, nani alifuatwa au kupigiwa simu, sio porojo tu halafu mtu uamini. Tujiridhishe, hivyo aturidhishe Kama kweli