Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

I.eongea vitu vya kusikia tu au kwa hisia zako kumbe siyo hivyo.

Mkuu document za ICAO na IATA zipo kibao huko mitandaoni kasome uujue ukweli.
Kwa ufupi ukweli ni kwamba ndege zetu haziruhusiwi kutua Nigeria na duniani ( Kuliko endelea...) tuanzie hapo pengine kutamsaidia mtoa mada kuelewa kwanini Simba hawajapanda Bombadier au Dreamliner na ili kupata kibali sio zoezi rahisi hata kidogo (Kuna bureaucracy za kufa mtu)
 
Yakitoka yanakamatwa hayo madege ya Magufuli.
Mwaka wa hasara huu.
 
Kwa ufupi ukweli ni kwamba ndege zetu haziruhusiwi kutua Nigeria na duniani ( Kuliko endelea...) tuanzie hapo pengine kutamsaidia mtoa mada kulewa kwanini Simba hawajapanda Bombadier au Dreamliner na ili kupata kibali sio zoezi rahisi hata kidogo (Kuna bureaucracy za kufa mtu)
Hilo ndio jibu sahihi la nini kilichojitokeza.
 
Atcl wana ratiba zao na isitoshwe inawezekana wameona haitalipa au pengine mazingira ya airport ya nigeria hawakuridhika nayo. Pia usilete uzushi, Bombardier haiwezi funga safari hadi Nigeria, na siyo sahihi eti zime park hazina safari.
 
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.

Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.

Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?

Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.

inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.

C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.

Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.

Mungu ibariki simba ishinde 2-0.

A loss making airline service. Its audit scheme is a security issue.
 
Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.

Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
Labda wanaogopa ndege zao kukamatwa.
 
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.

Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.

Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?

Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.

inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.

C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.

Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.

Mungu ibariki simba ishinde 2-0.

Samahani ndugu wateja kwa muda wote wa kipindi hiki ndege zetu zimejaa na hazitoweza kuvunja ratiba hatutaki mjadala!
 
Ilipoenda kufuata dawa kule Madagasca ilibeba watu wangapi?
Bombadier haina uwezo wakufly Tz to Lagos ila BOEING 787-8 ambayo inabeba watu zaid ya 200 imebebe watu 20 kwenda Lagos mtalipishwa bei gan?
 
Ishu sio bandiko, ukweli wa hayo ayasemayo. Zitolewe details, nani alifuatwa au kupigiwa simu, sio porojo tu halafu mtu uamini. Tujiridhishe, hivyo aturidhishe Kama kweli
Unajua maana ya marketing kwa taasisi zilizomakini? kitendo cha kupata taarifa kua Simba wanataka kusafiri kwenda Abuja ilitosha kwa Atcl kuwafuata ili wafanye biashara siyo Simba mteja kumfuata Atcl.

Jamani kuna majengo makubwa yanajengwa lakini makampuni yanayouza Makangavuke wanakwenda kufanya lobbing kwa client ili wapewe dili.
Badilikeni basi siyo lazima Simba wawafuate Ofisini mwenu.
 
Back
Top Bottom