Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Habari za jioni
Kumekuwa na tathmini mbalimbali hapa kati kupisha ujenzi wa uwanja mpya wa ndege maeneo ya Kipunguni, Ukonga.
Mwekezaji ametoa mzigo mzuri watu walipwe, kinachoonekana wale wanaopima wamebadili kuwa dili zao.
Hapa kati walipita nyumba kwa nyumba wakati wa kupima na pia wote kashika karatasi anaandika lakini baada ya kupima hakuna sehemu mnasaini kukubaliana kilichoandikwa.
Sasa basi matokeo yake wakachukua namba za watu wakiwaambia Serikali hailipi jengo bali ardhi kama unataka mnamalizana pembeni.
Wamekuja kuletewa cheki wanashangaa wanalia na na machozi.
Wakiomba tuonyesheni mmetulipa kwa njia ipi wanagoma, bahahati kuna waliogomea cheki hawa ndio wanaenda kusaidia wenzao maana baada ya kuanikwa wameomba wamalize kuwapa cheki wote na waanze kuwapimia upya wenye matatizo
Onyo: Kama kuna wanaofikiria watawaondoa kirahisi bila malipo yao wananchi wa Kipunguni wameungana vibaya kwa mara ya kwanza kudai haki zao
Tunaomba Mh Rais/Waziri husika hizi kelele zinazotolewa pelekeni watu wenu wafuatilie kinachoendelea, hao waliopita inaonekana kama wamekosa matumaini wanapoona wananchi wanadai kupatiwa makaratasi mliotumia vigezo vyenu kuwalipa.
Vyema wakapewa haki zao na kuondoka kwa amani
Mungu ibariki Tanzania