Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Wana maeneo makubwa sana ila wako smart mnoKwanini maeneo mengi ya wakatoliki hatuskii kesi za uvamizi. Kuna haja ya kujifunza kutoka kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana maeneo makubwa sana ila wako smart mnoKwanini maeneo mengi ya wakatoliki hatuskii kesi za uvamizi. Kuna haja ya kujifunza kutoka kwao.
DED hanifa kimbaumbau nimesoma nae, alikuwa nssf leo DED kinoHuyo DED aache uongo kuwa hajui. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ni DC, na siku ya uvunjaji DC Gondwe alikuwepo....
Mimi siishi mwanza na niko mbali na mwanza. Haya mambo wewe ndio unaniambia.Watu wamevunjiwa nyumba Mwanza. Hizo siasa tu ila watu walivunjiwa kama kawaida
Kuu kuu - za kizamaniNamaanisha nyumba kubwa
Aiseee....Huyo DED aache uongo kuwa hajui. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ni DC, na siku ya uvunjaji DC Gondwe alikuwepo. Hivyo huyo DED anayesema ataitisha kikao cha kamati ya ulinzi na usalama nikupotezea hilo swala kisiasa.
Ukweli ni kwamba wenye mijengo ya maana iliyokamilika haikuvunjwa, waliovunjiwa ni wale wenye chumba kimoja, viwili na nyumba ambazo hazijakamilika au ambazo siyo kali.
Bomoa bomoa ililenga eneo la NSSF. Ila wazito wanaoishi kwenye eneo hilo na eneo jirani linalopakana na nssf wakaamua kuwaondoa maskini katikati yao ili mji ujengeke (noble neighbour hood)kwa madai kuwa nako ni eneo la serikali(nssf). Kote kulikobomolewa ni maeneo ya uvamizi hivyo hata hao vigogo nao walivamia au kuuziwa na wavamizi ila hawakuguswa