Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Elezea vizuri tueleweKwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:
"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
Urusi kwa sasa ni kama paka aliyebanwa kwenye Kona, ... LEFT WITH VERY FEW OPTIONS!Elezea vizuri tuelewe
Hebu elezea Urusi imebanwa vipi maana sijui hata kama unaifahamu hii vita vizuriUrusi kwa sasa ni kama paka aliyebanwa kwenye Kona, ... LEFT WITH VERY FEW OPTIONS!
WAMAGHARIBI NI WAZI KABISA WAMO KWENYE VITA YA ANA KWA ANA NA URUSI! ... NA WAMEANZA KUTAMBA KAMA WASHINDI!
... PICHA NI WAZI, YAANI HAKUNA MCHELEMCHELE!
.Hebu elezea Urusi imebanwa vipi maana sijui hata kama unaifahamu hii vita vizuri
Inabidi useme dhambi zako....mea culpa mea culpa mea maxima culpa.
Upo sahihKwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:
"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
Ujuzi ulivyo ongezeka atakae anza kuliamsha litamlipukia mwenyewe!Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:
"KAASEKASEKA KAALELALELA!"
kumbuka kuwa ikiwa mbonyeza kitufe cha bomu kakutwa na atomic bomb akiwa ana kata gogo inamaana kitufe atabonyezea kuzimu au siyo?Bomu la Nuclear hana Urusi pekee akilitumia na wenzake wanaweza tumia
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Siyo kweli hata kidogo kwani pamoja na kwamba urusi ana mabom mengi ya atomic bado yeye ndiye anaeongoza kuwa na rocket engine nyingi za kusafirishia huo mzigo kwenda target na wakati wapinzani wake hasa USA anategemea kuyabemba kwa kutumia Strategic bombers ambazo anazo nyingi kupita zote zilizopo hapa duniani,Hilo halipo, ondoa hofu, kushambulia kwa nyuklia ndio kitu Putin hawezi kuthubutu kwa sasa maana anajua taifa lake litafutwa kwenye ramani ya dunia, wacha aendelee tu kulemazwa na hako kataifa jirani hapo.....
Siyo kweli hata kidogo kwani pamoja na kwamba urusi ana mabom mengi ya atomic bado yeye ndiye anaeongoza kuwa na rocket engine nyingi za kusafirishia huo mzigo kwenda target na wakati wapinzani wake hasa USA anategemea kuyabemba kwa kutumia Strategic bombers ambazo anazo nyingi kupita zote zilizopo hapa duniani,
Sasa ktk dunia ya leo ndege hasa strategic bombers si rahisi kupenetrate ktk baadhi ya nchi yaani itasanuliwa huko huko kabla haijaingiza pua yake kwenye nchi husika.
Lakini wanao miliki mabomu hayo mbona ni wengi tu - kitu gani kinakufanya ufikiri litatumika bomu moja tu katika mapigano haya kati ya NATO na Russia na mataifa mengine yanayo support Russia au unafikiri hayapo.Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema wahenga:
"KAASEKASEKA KAALELALELA!"