Bomu la 3 la Nuclear kutumika duniani muda si mrefu

Bomu la 3 la Nuclear kutumika duniani muda si mrefu

Nadhani nchi nyingi zinaogopana, Putin angepata mlango WA nyuma vita yake na Ukraine ingeisha n vile anajikuta mtu Mwenye msimamo, kwa mtazamo anaonekana anajutia maamuzi yake ya hovyo
[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
eti anajutia angalia hiyo list hapo chini mzee mrussia kesha zichapa sanaa nchi mbali mbali na hawatetereka
na wala putin hajajutia uwamuzi wake .....
 
Nadhani nchi nyingi zinaogopana, Putin angepata mlango WA nyuma vita yake na Ukraine ingeisha n vile anajikuta mtu Mwenye msimamo, kwa mtazamo anaonekana anajutia maamuzi yake ya hovyo[/QUOTE[emoji115][emoji115][emoji3][emoji16][emoji23]][emoji23]
Screenshot_20230705-125511.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16]unaijua nyuklia kweli? Au hata kuisikia?

Hizo process zako za kusafirisha, au uliona kwenye movie?

Nyuklia si hypersonic wala ICBM kwamba utakuwa unayavurumusha tu kama manati. Ikirushwa moja tu na labda ikajibiwa ni dhahama ya kutosha, habari za sijui rocket na nini hazitokuwepo tena, watu hawatokuwa na hamu.

Putin na ukorofi wake wote hadi leo anasota vitani na madude anayo, unadhani hapendi kumaliza game chapchap? Anajua the consequences.
Putin Hana ukorofi wowote ndugu,acha kupotosha wasiojua.
 
Sasa ndio umeandika nini mvaa kobaz, huwa nashindwa kusoma hizi insha zako, nimesoma sentensi ya kwanza nikaachia hapo.
Sasa kama ni kweli uwaga huna interests ninayo ya comment mimi, why don't you buzz off and get lost,lakini kule tu kushindwa ku-ignore comments na kunifatilia fatliti inaonyrsha unanionaga ni changa moto kwako kwakuwa huwa sikurihusu kuwadanganya members wenzangu kwa kucopy copy highly questionable MSM na tabloid za maghararibi, niyaandikayo mimi uyatoa kichwani kutokana na uzoefu wada mrefu na exposure.
 
Wewe ndiye mpuzi ambaye haujui kuandika au unahorojwa bila kushirikisha ubongo wako na unachokiandika, unapo-reply kwa comment yangu uwe makini na kutumia akili kama unataka nisome, la sivyo huwa napuuza na kukupuuza kama wavaa kobaz wenzako.
 
Hilo halipo, ondoa hofu, kushambulia kwa nyuklia ndio kitu Putin hawezi kuthubutu kwa sasa maana anajua taifa lake litafutwa kwenye ramani ya dunia, wacha aendelee tu kulemazwa na hako kataifa jirani hapo.....
Mkuu Russia akipewa nafasi ya kuanza kushambulia kwa nuklia atakuwa amaefanikiwa kuifuta dunia kabla ya hizo nchi nyingine kuifuta! Vita vya nuklia siyo rahisi kutokea kwa sababu it is just a matter of timing!
 
Duh jameni haya mavitu huwa mnaaminishana wapi ustadhi.
 
Back
Top Bottom