Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
[emoji16][emoji16][emoji16]unaijua nyuklia kweli? Au hata kuisikia?Siyo kweli hata kidogo kwani pamoja na kwamba urusi ana mabom mengi ya atomic bado yeye ndiye anaeongoza kuwa na rocket engine nyingi za kusafirishia huo mzigo kwenda target na wakati wapinzani wake hasa USA anategemea kuyabemba kwa kutumia Strategic bombers ambazo anazo nyingi kupita zote zilizopo hapa duniani,
Sasa ktk dunia ya leo ndege hasa strategic bombers si rahisi kupenetrate ktk baadhi ya nchi yaani itasanuliwa huko huko kabla haijaingiza pua yake kwenye nchi husika.
Hizo process zako za kusafirisha, au uliona kwenye movie?
Nyuklia si hypersonic wala ICBM kwamba utakuwa unayavurumusha tu kama manati. Ikirushwa moja tu na labda ikajibiwa ni dhahama ya kutosha, habari za sijui rocket na nini hazitokuwepo tena, watu hawatokuwa na hamu.
Putin na ukorofi wake wote hadi leo anasota vitani na madude anayo, unadhani hapendi kumaliza game chapchap? Anajua the consequences.