Countries with the biggest nuclear weapon stockpiles:
1. Russian federation 2. Usa 3. France 4. China 5. Uk 6. Pakistan 7. India 8. Israel 9. South Korea
Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi
Mpaka sasa marekani anategemea kombora la minuteman ambalo ni landbased,hilo capacity ya juu ni vichwa vitatu.Acha wajidanganye, USA ndo anaongoza kwanza kwa kuwa nazo nyingi na hata zinazoaminika kuwa na nguvu zaidi, tofauti hapo ni kwamba yenye nguvu zaidi iliyowahi kujaribiwa mpaka sasa ni hiyo ya Urusi, kuwa nazo ni jambo moja na kuzijaribu ni jambo jingine.
Pia huwezi tengeneza kombora la nuclear uliweke tu store,lazima ulifanyie test,tena si mara moja.Acha wajidanganye, USA ndo anaongoza kwanza kwa kuwa nazo nyingi na hata zinazoaminika kuwa na nguvu zaidi, tofauti hapo ni kwamba yenye nguvu zaidi iliyowahi kujaribiwa mpaka sasa ni hiyo ya Urusi, kuwa nazo ni jambo moja na kuzijaribu ni jambo jingine.
Pia huwezi tengeneza kombora la nuclear uliweke tu store,lazima ulifanyie test,tena si mara moja.
na huwezi kufyatua nuclear iwe kwa jaribio ama vinginevyo nchi hizi tatu marekani,russia na china wasijue ndani ya sekunde tano.
nchi hizo wako na military satelite zina sense mara moja kama kuna kombora limefyatuliwa mahali popote duniani
Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi
Pia huwezi tengeneza kombora la nuclear uliweke tu store,lazima ulifanyie test,tena si mara moja.
na huwezi kufyatua nuclear iwe kwa jaribio ama vinginevyo nchi hizi tatu marekani,russia na china wasijue ndani ya sekunde tano.
nchi hizo wako na military satelite zina sense mara moja kama kuna kombora limefyatuliwa mahali popote duniani
Mkuu umeona mtu niliyemjibu hii post alivyoandika mpaka nikamjibu post ya namna hii
au wewe umekuja kuijibu hii post moja kwa moja bila ya kujua hii post imejibu post ya aina gani
kama umeona post niliyoijibu na bado una ni attack basi una uelewa mdogo ila kama hujaona post niliyoijibu wewe umekurupuka tu kuni attack basi pia ua matatizo
Mpaka sasa marekani anategemea kombora la minuteman ambalo ni landbased,hilo capacity ya juu ni vichwa vitatu.
na kwa miaka mingi marekani hajatengeneza kombora la nyukilia jipya,tofauti na mrusi.
hilo bulava limeingia kuanza kutumika mwaka jana mwishoni.
ujue huezi kumuster kombora la balistic kama hauko vizuri kwenye technology ya maroketi,na kwahili marekani yuko nyuma kidogo ya mrussia,ndo maana hata wanaanga wa marekani wa NASA hutegemea maroketi ya mrusi kwende anga za juu.
Mara kadhaa majaribio ya nuclear warhead yanafanyika chini ya ardhi,na hata ukifanya chini ya ardhi lazima ule mtetemeko wa ardhi wanajua tu kuwa kumefanyika jaribio sehemu fulani.Hayo mabomu ya Nuclear yalivyo na madhara namna hiyo huwa wanayajaribishia maeneo yapi!? na hakuna madhara!?
Kuna treat inayokataza kufanya majaribio ya nuclear warhead,angani,juu ya ardhi na hata chini ya bahari.
ilikua inaruhusiwa kutest underground.
mara ya mwisho marekani wametest underground mwaka 1992,russia 1990,uk 1991,france 1996.
nchi ya mwisho kutest ni north korea nadhani 2013 kama sikosei.
Zamani miaka ya 50 na 60 wakifanya testing angani kwenye visiwa fulani,madhara yake yaliendelea kuwa makubwa,watu wakipata kansa na magonjwa kadhaa,na hivyo visiwa havikaliki tena.Una test vipi underground!? kwasababu effects si zinatokea hadi juu... kwa mfano kama lile la Hiroshima liliweza kuifumua ardhi, halafu uta test vipi underground wakati mengine ni ya angani, lipo angani mnaanza kusikilizia chini mateso, sasa underground una test kwa namna gani!? utarusha vipi underground wakati kuna limitation tofauti na angani linajinafasi tu...
Hilo jaribio la chini ya bahari litakuwa lina athari katika viumbe hai, kama samaki hata binadamu pia wanaotumia hao samaki, hao watu wanaofanya jaribio underground wenyewe wanakuwa wapi!?1-Jaribio la juu ya ardhi.
2-jaribia la chini ya ardhi.
3-jaribio la angani.
4-jaribio chini ya bahari.
ni hatari sana,hebu chukulia tu,lile bomu moja lilopigwa kule hiroshima japan,lilikua na uwezo wa kiloton 15,na likaleta madhara hayo.
sasa kichwa kimoja katika kombora la S-88 SATAN kina uwezo wa mara kumi,yaani kiloton 150. sasa fikiri madhara ya kichwa kimoja tu yatakavyokua.
sasa zidishi mara kumi tena kwani kombora moja lina vichwa(warheads)10.
unapata madhara yanakua mara 100 zaidi ya lile la hiroshima.
ndo maana unaambia linateketeza miji 3.
Inakuwaje nuklia ikaketa madhara ya kigenetic?