Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Countries with the biggest nuclear weapon stockpiles:
1. Russian federation 2. Usa 3. France 4. China 5. Uk 6. Pakistan 7. India 8. Israel 9. South Korea

Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi
 
Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi

Acha wajidanganye, USA ndo anaongoza kwanza kwa kuwa nazo nyingi na hata zinazoaminika kuwa na nguvu zaidi, tofauti hapo ni kwamba yenye nguvu zaidi iliyowahi kujaribiwa mpaka sasa ni hiyo ya Urusi, kuwa nazo ni jambo moja na kuzijaribu ni jambo jingine.
 
Mpaka sasa marekani anategemea kombora la minuteman ambalo ni landbased,hilo capacity ya juu ni vichwa vitatu.
na kwa miaka mingi marekani hajatengeneza kombora la nyukilia jipya,tofauti na mrusi.
hilo bulava limeingia kuanza kutumika mwaka jana mwishoni.
ujue huezi kumuster kombora la balistic kama hauko vizuri kwenye technology ya maroketi,na kwahili marekani yuko nyuma kidogo ya mrussia,ndo maana hata wanaanga wa marekani wa NASA hutegemea maroketi ya mrusi kwende anga za juu.
 
Pia huwezi tengeneza kombora la nuclear uliweke tu store,lazima ulifanyie test,tena si mara moja.
na huwezi kufyatua nuclear iwe kwa jaribio ama vinginevyo nchi hizi tatu marekani,russia na china wasijue ndani ya sekunde tano.
nchi hizo wako na military satelite zina sense mara moja kama kuna kombora limefyatuliwa mahali popote duniani
 
Hayo mabomu ya Nuclear yalivyo na madhara namna hiyo huwa wanayajaribishia maeneo yapi!? na hakuna madhara!?
 
Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi

Nilizungumzia biggest stockpile na si powerfull russian possess about 8500 nuclear warheads, Usa possess 7700 nuclear warheads according to Strategic Army Reduction Treat (START) mataifa hayo mawili yanatakiwa kupunguza mpaka kufikia chini ya 1550 warheads kufikia mwaka 2018! Refer to www.army-technology.com au www.mapofworld.com
 
Pia huwezi tengeneza kombora la nuclear uliweke tu store,lazima ulifanyie test,tena si mara moja.
na huwezi kufyatua nuclear iwe kwa jaribio ama vinginevyo nchi hizi tatu marekani,russia na china wasijue ndani ya sekunde tano.
nchi hizo wako na military satelite zina sense mara moja kama kuna kombora limefyatuliwa mahali popote duniani

Kuna mengi katika haya mkuu yanayoweza kukufanya usiwe na information za uhakika, kubwa zaidi ni swala la national security.

We jiulize waliyotangaza mfano Russia yuko na zaidi ya 8 elfu warheads na USA zaidi ya 7 elfu lakini mpaka leo ni mabomu 4 tu yaliyowahi kulipuliwa so this only justifies kwamba unaweza ukatengeneza na usijaribu, USA ndo inaongoza kwa kurutubisha radioactive elements.
 
Mkuu umeona mtu niliyemjibu hii post alivyoandika mpaka nikamjibu post ya namna hii

au wewe umekuja kuijibu hii post moja kwa moja bila ya kujua hii post imejibu post ya aina gani

kama umeona post niliyoijibu na bado una ni attack basi una uelewa mdogo ila kama hujaona post niliyoijibu wewe umekurupuka tu kuni attack basi pia ua matatizo

Labda hukinielewa maana yangu ilikua kuongezea kile ulichomjibu yule, katika uliichoonge nikaongeza kuwa: pia si busara kumjadili mtu na elimu yake kwenye mada ambayo si husika, ila naomba uniwie radhi kama nilikukwaza!!
 
Mpaka sasa marekani anategemea kombora la minuteman ambalo ni landbased,hilo capacity ya juu ni vichwa vitatu.
na kwa miaka mingi marekani hajatengeneza kombora la nyukilia jipya,tofauti na mrusi.
hilo bulava limeingia kuanza kutumika mwaka jana mwishoni.
ujue huezi kumuster kombora la balistic kama hauko vizuri kwenye technology ya maroketi,na kwahili marekani yuko nyuma kidogo ya mrussia,ndo maana hata wanaanga wa marekani wa NASA hutegemea maroketi ya mrusi kwende anga za juu.

Ni hivi, husimami kukataza/kushawishi wengine wasiunde alafu wewe ukatangaza wazi progress zako. Ndani zaidi ni ushindani mkali sana wa technology katika area hii na kilichowazi ni yale ambayo si siri tena au yaliyopitwa na wakati. Hapa kuwa na bombs zilizotengenezwa tayari si nguvu tena bali taaluma ya kuunda mpya zenye nguvu zaidi na resources za kufanya hivyo. Nuclear scientists wanakuwa fostered, wanaendelea na tafiti zao na wanaunda prototypes katika small scales. Ndani ya muda mfupi sana kama ile vita kubwa ikianza zile prototypes zitakuwa halisi na hawa watu wana mazingira ya kuwezesha hilo kwa haraka mno. Ni katika hali hii unaweza kusema huundi tena silaha hizi (physically) na kupunguza kasi ya nuclear race kwa washindani wa zamani na wale wapya.

Katika Dunia hii ya sasa hamna tena nafasi ya kufanya jaribio la nuclear la full scale pasipo kuwa noticed na washindani wako wao wanastudy matokeo (yields) ya jaribio na wanafanya tathmini kwamba uko level gani ya advancement. Pembeni ya hiyo bado hata majaribio madogo tu yana athari kubwa mno kwa dunia, mazingira yake na ozone layer, kwa kutaja machache. Kwa maana hiyo majaribio mengi ya hatari sana yanaweza kujitokeza kukiwa na vita halisi (justification) kati ya wababe hawa, tuombe tusifike huko. Lile la Hiroshima halikuwahi kujaribiwa, pale lilipoangushwa hakuna aliyekuwa anajua vizuri matokeo halisi.

Kwa hiyo kikubwa sasa ni nuclear technology sio una nini katika maghala yako.
 
Hayo mabomu ya Nuclear yalivyo na madhara namna hiyo huwa wanayajaribishia maeneo yapi!? na hakuna madhara!?
Mara kadhaa majaribio ya nuclear warhead yanafanyika chini ya ardhi,na hata ukifanya chini ya ardhi lazima ule mtetemeko wa ardhi wanajua tu kuwa kumefanyika jaribio sehemu fulani.
pia tofautisha kombora la ballistic na nuclear warheads.
mara nyingi warhead zinakuwepo tayari,sababu mfano warhead ya kiloton 150 ikishajaribishiwa na kukubali,wana imass produce kwa kufuata configuration ya ile iliyosucceed..
yanayotestiwa mara kwa mara ni makombora ambayo yako unarmed(hayana nuclear warhed).
kombora ni just a means to deliver the payload(nuclear warhead).
sasa delivery means inaendelea kubadilika na kufanyiwa testing
 
Kuna treat inayokataza kufanya majaribio ya nuclear warhead,angani,juu ya ardhi na hata chini ya bahari.
ilikua inaruhusiwa kutest underground.
mara ya mwisho marekani wametest underground mwaka 1992,russia 1990,uk 1991,france 1996.
nchi ya mwisho kutest ni north korea nadhani 2013 kama sikosei.
 
Una test vipi underground!? kwasababu effects si zinatokea hadi juu... kwa mfano kama lile la Hiroshima liliweza kuifumua ardhi, halafu uta test vipi underground wakati mengine ni ya angani, lipo angani mnaanza kusikilizia chini mateso, sasa underground una test kwa namna gani!? utarusha vipi underground wakati kuna limitation tofauti na angani linajinafasi tu...
 
Zamani miaka ya 50 na 60 wakifanya testing angani kwenye visiwa fulani,madhara yake yaliendelea kuwa makubwa,watu wakipata kansa na magonjwa kadhaa,na hivyo visiwa havikaliki tena.
wakapiga marufuku.
underground test wanafanya kwa kuchimba chini sana,either jaribio wanafanya holizontal ama verticaly.
ni chini km kadhaa kiasi kwamba ardhi itatitia tu lakini haitapasuka,na hivyo madhara yote hubaki yamefukiwa chini ya ardhi mbali sana,madhara yanayokuja juu ni kidogo.
lakini pia hata hii wanazuia,ndo kisa wamesitisha majaribia tangu miaka ya 90.
ukiachia la karibuni la korea ya kaskazini.
 
220px-Types_of_nuclear_testing.svg.png
.
 
1-Jaribio la juu ya ardhi.
2-jaribia la chini ya ardhi.
3-jaribio la angani.
4-jaribio chini ya bahari.
 
1-Jaribio la juu ya ardhi.
2-jaribia la chini ya ardhi.
3-jaribio la angani.
4-jaribio chini ya bahari.
Hilo jaribio la chini ya bahari litakuwa lina athari katika viumbe hai, kama samaki hata binadamu pia wanaotumia hao samaki, hao watu wanaofanya jaribio underground wenyewe wanakuwa wapi!?
 
ni hatari sana,hebu chukulia tu,lile bomu moja lilopigwa kule hiroshima japan,lilikua na uwezo wa kiloton 15,na likaleta madhara hayo.
sasa kichwa kimoja katika kombora la S-88 SATAN kina uwezo wa mara kumi,yaani kiloton 150. sasa fikiri madhara ya kichwa kimoja tu yatakavyokua.
sasa zidishi mara kumi tena kwani kombora moja lina vichwa(warheads)10.
unapata madhara yanakua mara 100 zaidi ya lile la hiroshima.
ndo maana unaambia linateketeza miji 3.

Mh!! Ndugu hayo maelezo yako yamemifanya niogope kabisa. Mungu ndio anajua. Nashuku kwa elimu mnayotoa hapa kuhusu haya mabomu.
 
Inakuwaje nuklia ikaketa madhara ya kigenetic?

Nyuklia hutoa mionzi hatari (Radiation) zinazoweza kuathiri mfumo wa uzazi (Reproductive cells) au seli za mwilini (somatic cells) hivyo kusababisha kitu kinachoitwa "Mutation" ambacho hupelekea kubadili au kuvuruga kabisa mpangilio wa vinasaba(DNA sequences)
 
Mpaka sasa marekani anategemea kombora la minuteman ambalo ni landbased,hilo capacity ya juu ni vichwa vitatu.
na kwa miaka mingi marekani hajatengeneza kombora la nyukilia jipya,tofauti na mrusi.
hilo bulava limeingia kuanza kutumika mwaka jana mwishoni.
ujue huezi kumuster kombora la balistic kama hauko vizuri kwenye technology ya maroketi,na kwahili marekani yuko nyuma kidogo ya mrussia,ndo maana hata wanaanga wa marekani wa NASA hutegemea maroketi ya mrusi kwende anga za juu.

Hapo kwenye nyekundu siyo kweli.

Mpaka sasa ni marekani pekee iliyowahi kutengeza ndege inayokwenda anga za juu na kurudi duniani (reusabale space shuttle) ikiwa inaongozwa na binadamu. Walitengeza ndege hizo kwa kutumia makampuni matatu ya kimerakani mwaka 1981; jumla ya ndege tano za namna hiyo zilitengezwa: Columbia, Challenger, Discovery, Atlantis, na Endeavour. Mwaka 1983 Challenger ipata accident na kulipuka wakati ikiwa inapaa pale Kennedey Space Center Florida, ikaua wanaanga wote waliokuwamo mara tu baada ya kuruka angani. Zilizobaki zilindelea kufanya kazi kwa zaidi ya miaka 20 hadi mwaka 2003 ambao Columbia nayo ilipata accident juu ya anga la Texas wakati ikirudi ardhini. Hizo tatu zilizobaki zilendelea kufanya kazi kwa miaka takriban 30 hadi ziliostaafishwa rasmi mwaka 2011 ndipo serikali ya Marekani ikaamua kuwa shughuli hiyo ifanywe na makampuni binafsi kibiashara. Makapuni kama Space X na Virgin Galactic ni kati ya makampuni yaliyongia katika biashara hiyo. Wakati hayajatengamaa, wanaanga wa Marekani hutumi Capsules za Kirusi ambazo siyo self propelled kwenda Intenational Space Station siyo kwa sababu hawana uwezo wa kuunda vyombo hivyo bali kwa sababau wanasubiri makampuni binafsi yatengamae, na hata hivyo huwa wanawalipa warusi gharama za kwenda huko juu. Kwa sasa hivi NASA wako bize kutengeza ndege reusable ya kwenda kwenye mwezi na anga nyingine za juu zaidi kuliko Intenational Space Station ambayo wameachia makampuni binafsi.

Urusi walijaribu kutengeza space shuttle yao Buran kwa kukopi zile za marekani ambapo waliunda moja tu lakini haikufanikiwa kuruka kwenda anga za juu hata mara moja.
 
Back
Top Bottom