Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi
Mrussi anazo zenye nguvu zaidi, si hilo tu hata delivery systems za thermonuclear payload zao ni sophisticated kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Mrusi Ndio anazo nyingi au anazo zenye nguvu zaidi
Mmmh! umenikumbusha mbali sana "terminologies" hizo. Mara nuclear fusion, isotopes e.t.c. Mimi hapa cna msaada kwakweli (zaid ya "likes" na kuwafagilia kina Gay-Lussac!, bhaaas!).
Natamani Dr.Ghalib Bilal (V.President) angekuwa humu ndani. Ni moja ya watanzania nadra sana wenye Elimu & Kisomo cha mambo haya.
Respect!
Shangaa tu kwa sasa kawa mtaalamu wa kuzindua miradi na kwa professional wa kukata utepe, angekuwa chuo anazalisha wataalam wa hii kitu balaa.
hizo makitu wakijua kutengeneza hawa ndugu zetu wa damu si watatumaliza??
hao makundi ya kiisilamu ya kigaidi
mkuu nijuze ana level gan ya elimu ktk mambo haya na aliipatia wapi kama hutajali anika historia yake ktk taaluma hii TuntemekeSanga & Easymutant
hawezi kuwa noma mpk tutakapojua amefanya successful project ipi inayojihusisha na mambo ya nuclearhuyu gharib bilal ni noma hastaili kuwa mwanasiasa
hawezi kuwa noma mpk tutakapojua amefanya successful project ipi inayojihusisha na mambo ya nuclear
huyu uwezo wake ni zaid ya taaluma ya nyuklia aliyonayo taaluma yake hasa ktk physics angeweza kuzalisha watu muhimu sana ktk taifa letu zaidi ya alivyo mwanasiasa sasa kaz kutembea na mkas mfukon
Hilo ni tactical nuclear weapon na si strategy nuclear weapons kama ICBM,SLBM
mkuu kwa ushallo wangu wa masuala ya kivita na elimu yangu ninayoipata kupitia Discovery Channel kila nipatapo muda ni kuwa tactical weapons ni zile silaha ambazo huwa deployed kwenye uwanja wa mapambano (hapo tayari vita imeshaanza hivyo inakuw ni sehemu ya mbinu ya kivita) wakati strategic weapons ni zile ambazo hutumik na upande mmoja kuudhoofisha mwingine kwa kupiga maeneo nyeti kama viwanda, milliary base na maeneo mengine kabla ya vita kuanza au kabla vita haijachanganya.likewise kwa hayo makombora.I stand to be corrected though.Mkuu hapo umeniacha mbuzi kidogo, kuna tofauti gani kati ya tactical weapons na strategy weapons?
Acha ushenzi, ina maana wanaoua watu kwa hizo mass weapons huwaoni au kuwatafuta tu waislamu, hivi kwa nini ninyi watu mkawa na roho mbaya kuliko hata ya shetani, hebu niambie: yule aliyeangusha nuclear bomb kule Hiroshima alikuwa muislamu...? vipi kuhusu wale waliochoma watu kwa kutumia white phosphorus kule IRAQ nao walikuwa waislamu, ama yule aliyetumia chemical weapons kule Vietnam nae alikuwa muislamu, nadhani kama hauna cha kuchangia bora ukajisomea tu bila ya kupost,nikikuuliza walau nchi moja mnayoiita ya kiislamu ambayo imetumia mass destructive weapons utabaki mdomo wazi.hizo makitu wakijua kutengeneza hawa ndugu zetu wa damu si watatumaliza??
hao makundi ya kiisilamu ya kigaidi
Mi nilisoma history, hapa siwezi. wasubiri akina Neuton
Hivi ni nchi gani inayoongoza kwa uzalishaji wa mabomu ya nyuklia duniani????
Ninaanzisha thread hii ili kuwakaribisha wataalamu wa Nuclear phyiscis watupe elimu kuhusu Nuclear energy.
Bomu la nyuklia hutengenezwa kutokana na madini yenye asili ya Radioactive kama vile Uraninum au Plutonium. Madini haya yana tabia kuwa yakistuliwa kidogo tu basi yanaanza process inayoitwa nuclear fission ambapo hupasuka vipande vidogo vidogo huku yakiwa yaanaachia joto jingi sana.
Madini ya uranium yana mifumo (isotopes) mbili, Uranium U-235 na Uranium U-238. Mfumo wenye nguvu za nuklia nie ule wa U-235, hata hivyo madini ya uranium ya asili kama yanayochimbwa hapa kwetu yana kama nusu asilimia tu ya U235, wakati asilimia karibu 99.5 ni U-238.
Bomu moja la Nyukilia huhitaji U-235 kama kilo hamsini hivi hivi, kwa hiyo ili kuzipata hizo kilo hamsini inabidi uwe na uranium asili zaidi ya tani mia moja halafu uichuje kwa kutumia chekecheo ziitwazo centrifuge ili kuondoa U-238 ambayo ni nzito kidogo na kuacha U235 ambayo ni nyepesi. Kuchuja tani moja ya Uraniuma inaweza kuchukua miaka miwili au hata mitano kutegemea na ubora wa centrifuge ulizo nazo.
Ukishaweka U235 iliyochujwa mahali palipotulia, unachohitaji ni kuidisurtb kidogo tu hata kwa kuiangushia mchanga, halafu yenyewe inaaza nuclear fission inayosababisha kitu kinaitwa chain reaction ambayo hutoa joto kali sana na kuunguza kila kiliocho hapo katika maeneo yake. Nguvu za nuklia hutumia joto hilo badala ya makaa ya mawe kuchemsha maji kutoa mvuke wa kuendesha mashine za kufua umeme.
Yale mabomu ya atomiki yalioangusha Nagasaki na Hiroshima yaliuwa watu kwa sababu ya joto ikafikia hata mifupa ya watu ikiwa inayeyuka kwa sababu ya joto. Mabomu conventional yanayotumia baruti huua watu na kubomoa majengo kwa ajili ye pressure lakini Nyuklia huwasha moto tu.
Wana fizikia wa nuklear physiscs ingieni hapa mtupe elimu kuhus nishati hii inayoogopwa duniani kote.