Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Nadhani wewe hujui kuwa nchi ni watu waishio pale siyo waliozaliwa pale wenye asili ya pale. Iwapo Einstein alizaliwa Ujerumani lakini akafanyia mambo yake akiwa mmarekani, ni lazima ukubali kuwa huyo ni mmarekani siyo mjerumani tena. Marekani ya asilia ni ya wahindi wekundu, lakini sera zake zinavuia watu wengi kuhamia na kuifanya iwe nchi ya maajabu. Bomu la nyuklia la kwanza lilitengezwa na kutumiwa na wamarekani siyo wajerumani. Ukitaka kutafuta vyanzo vya watu basi hata hao wajeurmani siyo wa huko bali ni wa kutoka Olduvai Gorge hapa Tanzania

Nilikuwa nakusahihisha pale uliposema kwamba Urusi amekopi Marekani kuhusu teknolojia ya kutuma vyombo space na ndiyo nikakwambia kwamba hata Marekani pia amekopi ktk nchi nyingine hiyo teknologia na wala siyo ya kwake, kwamba NASA iliweza tu kuwa na hiyo teknoliojia baada ya kuchukuwa kwa nguvu Wanasayansi na Wahandisi ktk Ujerumani baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia kuisha Wahandisi kama Werner von Braun ndiyo walioiwezesha NASA kuwa jinsi ilivyo leo hii na Urusi vile vile walichukuwa Wanasayansi kama vile Marekani kama mateka baada ya Vita kuisha ktk Ujerumani na ndiyo waliounda SPUTNIK hivyo wote Urusi na Marekani wamekopi /wameipora ktk Ulaya baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia kuisha!

Kuhusu Nuclear technology ni hivyo hivyo Marekani kama Marekani iliweza tu kuunda Bomu la Nyuklia kwa sababu ilichukuwa wanasayansi wengi sana ktk Ulaya na wengi wao kama mateka wa vita na ndiyo walioshiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye uundwaji wa Bomu la Nyuklia!
Ili uweze kuelewa haya mambo unatakiwa kwanza uanze na Historia ya Bomu la nyuklia lilianzaje! Ilianzia na Mwanasayansi Otto Hahn aliyefanya Nuclear fission kwa mara ya kwanza, kila kitu kilianzia hapo...!
 
Half true and half false. Naona kama unachanganya Science na Technology. Science inatoa inatoa ufafanuzuzi wa phenomenon mbamlimbali za asili wakati technology inazalisha applications za science. Ni kama ambavyo science inavyosema kuwa solar energy inaweza kubadilishwa kuwa umeme lakini technology ikatoa solar cells zinazozalisha umeme kutokana hiyo solar energy. Sijui kama nimejieleza vizuri.

Ingawa historia ni ndefu kidogo nitajaribu kufafanua kama ifuatavyo. Nina vitabu kadhaa katika mada hii ila nitajaribu kufupisha kwa juu juu.

Ni kweli kabisa kuwa science ya Radioactivity iligunduliwa na watu wa Ulaya; kuanza kabisa na wafaransa, halafu ikaendelea kuchimbwa zaidi na wajerumani hasa Otto Hahn akishirikiana na wansayansi wa mataifa mengine ya ulaya kama vile Sir William Ramsay wa uingereza, Lise Meitner wa Austria. Alipanua wigo wa research zake kwa kushirikiana pia na wanasayansi wa mataifa mengine nje ya ulaya kama vile Ernest Rutherford wa Canada na maprofessor wa Chemistry pale Cornell University Marekani. Research hii ilichangiuwa na watu wengine wengi sana kama Niels Bohr wa Denmark, na wengine. Kwa hiyo ni kweli kuwa sceince hiyo chanzo chake ni ulaya.

Siyo kweli kuwa Nuclear technology ya kufua nishati na kutumika kama silaha pia ilianzia Ulaya, bali ilianzia marekani. Ingawa tekenology hiyo ilipata msaada sana wa wanasayansi waliokuwa wamehamia Marekani kutoka Ulaya kukimbia utawala wa Hitller wakati huo, hasa Leo Szilard na Eugene Wigner waliokuwa wametoka Hungary, na Enrico Fermi aliyekuwa ametoka Italy, bado shughuli hiyo ilianzia marekani kwa kusimamiwa na US Department of Energy (DoE). Ingawa wajerumani walijaribu kufanya hivyo chini ya mradi wao wa German nuclear weapon project (Uranverein), hawakufanikiwa kabisa. Ni Manhattan project iliyokuwa inasimamiwa na DoE ya Marekani kwa kushirikiana na mataifa ya Canada na Uingereza ndiyo iliyokuwa ya kwanza kufanikiwa kufua nishati ya nuclear. Hii ni project iliyofanywa katika sites nyingi sana marekani (zaidi ya 20) wanasayansi na wahandisi zaidi ya asilimia 90 walioshiriki kwenye project hiyo walikuwa ni wamarekani wa kuzaliwa, siyo mateka wa ulaya kama unavyodai. Jambo la kwanza waliloshughulika nalo ilikuwa kuanzisha METLAB hapo University of Chicago kutafiti ujenzi wa nuclear reactor. METLAB ilisimamiwa na Professor Arthur H. Compton ikiwa na baadhi ya wansayansi waliokuwa wamehamia Marekani kutoka ulaya kama vile Enrico Fermi na Eugene Wigner niliotaja hapo juu, pamoja na wansayansi wengine wamarekani. Waliweza kudesign na kujenga nuclear reactor ya kwanza kabisa duniani iliyojulika kama Chicago-Pile. Ni kutokana na ufanisi huo wa METLAB ndipo Manhattan Project ilipoendelea kujipanua hadi kufanikiwa kutoa bomu la kwanza.

Mwaka 1956 huyo Arthur H. Compton aliyeongoza METLAB aliandika kitabu chake kiitwacho "Atomic Quest " A Personal Narrative by Arthur Holly Compton. Kinapatikana Amazon, ukikisoma kwa makini nadhani utapata undani wa technolojia hiyo ya Nuclear. Kuna vitabu vingine vingi sana kuhusu somo hili.

Mada hii ilikuwa ni ya Nuclear Weapon, na sidhani kama nilikuwa nimeashaandika lolote kuhusu space exploration. Hata hivyo husemi ukweli pia unaposisitiza kuwa space exploration technology ya marekani ililetwa marekani na mateka wa Ulaya kwani unakuwa unasahahu kuwa chombo cha kwanza kabisa duniani kurushwa angani kilivumbuliwa wamarekani.
 
Unamaanisha nini unaposema chombo cha kwanza angani kilirushwa Marekani? Chombo kipi hicho? Nijuavyo mimi SPUTNIK ndiyo ilikuwa Satellite ya kwanza Duniani kurushwa angani na ilirushwa na Warusi na ndiyo iliyoanzisha space race ambapo Marekani nao kupitia NASA ndiyo wakaanza kutengeneza ya kwao na wote SPUTNIK na Apollo zilijengwa na Mainjinia na Wanasayansi wa Kijerumani waliokamatwa kama mateka wakati wa vita hili lipo wazi na kila mtu labda isipokuwa wewe analifahamu, kwa kukusadia tu ulishawahi kusikia chochote kuhusu operation Paper Clip? Kama bado jaribu kusoma kuhusu Operation PaperClip utajifunza mengi sana!

Kuhusu mambo ya Nuclear Bomb ni mambo complicated sana na yalivubikwa na siri kubwa sana na hapa tutakesha hatuwezi kufikia muafaka kwa maana wewe unasoma mambo yaliyoandikwa na Wamarekani na unasahau kwamba hii ilikuwa Vita kati ya Marekani, Urusi na wengine dhidi ya Ujerumani na wenzake kama Japan, Italia n.k na mshindi wa Vita hii alikuwa ni Mmarekani na Mrusi pmj na wasaidizi wao, hivyo basi kama ilivyo kwenye Vita vyote mshindi ndiyo huandika Historia, na hapa Marekani na Urusi ndiyo wanaondika Historia ya kipi kilichotokea lkn UKWELI hakuna anayeujua SIYO mimi wala WEWE, kuna wengi wanasema kwamba Hitler alishajenga Bomu la Nyuklia na kwamba lile Bomu la Marekani lilijengwa na ma NAZI tayari kama ulishawahi kusikia kuhusu Manowari ya Kijeshi ya Ujerumani U-234 ambayo ilikamatwa na kutaifishwa na ilikuwa na kila kitu kuhusu Nuclear Bomb lkn kama nilivyosema UKWELI wanaujua wao wenyewe Wajerumani, Wamarekani na Warusi!
 
Hebu kuwa systematic, naona unakurupukakurupuka sana. Mada hii ni kuhusu nguvu za nyuklia, lakini sasa wewe umechanganya manowari za kivita na mambo ya satellite. Kama ulikuwa hujui, rocket ni matokeo ya ugunduzi wa ndege ambayo iligunduliwa na wamarekani; ndege ya kwanza kabisa kuruka angani ilitengezwa na wamarekani; hilo ndilo nililokuwa nalisema. Kabla ya kuruka ruka na kupima ni nani aliyejenga nyumba ya kwanza au ni nani alitengeneza gari la kwanza, wewe stick kwenye mada ya topic hii kuhus tekenoljia ya nguvu za nyuklia. Nitambua kuwa kuna watu wengi duniani wanajua kuongea lakini hawajui kuijileza kwa mantiki, usiwe mmoja wao.

Hapo awalai nimekuambia kuwa iwapo huwatambui watu waliohamia marekani kuwa ni wamarekani, basi ina maana kuwa marekani haikufanya lolote duniani hapa kwani wamarekani wa asili ni wahindi wekundu. Mtu akishahamia marekani anakuwa ni mmarekanii; hata Sergey Mikhaylovich Brin alizaliwa Urusi lakini aliunda Google akiwa Marekani na inajulikana mpaka leo kuwa Google ni ya wamarekani siyo ya warusi.
 
Hoja yangu mimi yote ilijikita kwenye sentensi moja tu ambayo ndiyo iliyoniingiza kwenye hii mada vinginevyo nisingechangia kitu nayo ni pale uliposema kwamba Urusi ameiba Teknolojia ya Marekani na ndiyo nikakwambia kwamba kwenye haya mambo wote wawili Urusi na Marekani hasa kwenye mambo ya rocket science na Nuclear Physics wamekopi/pora kutoka Ujerumani (Nazi-Germany) hata hiyo rocket ya Marekani unayoinongelea Marekani waliweza tu kuirusha kwa sababu walikopi V-2 Rocket ya Ujerumani ambayo ndiyo ilikuwa long range missile ya kwanza Duniani na baada ya vita Urusi wakaiba Mitambo yote ktk Ujerumani pmj na Wanasanyansi na Wahandisi na Marekani nao wakachukuwa Wahandisi kama akina Werner von Braun na kundi lake kama mateka wa kivita pmj na Mitambo mingi ya V-2 kuipeleka NASA na mateka wakivita (Wanasayansi na Wahandisi) ktk Ujerumani chini ya Werner von Braun ndiyo waliojenga rocket ya kwanza ya Marekani kwa kutumia model ya V-2 na ndiyo iliyopeleka/ au inayosadikiwa kupeleka binadamu wa kwanza Mwezini kutumia chombo kilichoitwa Apollo, kwa kifupi Apollo ni model ya V-2 missile ya NAZI Germany!

Hoja yangu yote iko hapo kwamba wote Urusi na Marekani pia walipora/kopi teknolojia na wote kati yao hakuna Muanzilishi,, Nuclear physics yote haikufanyika Marekani bali Marekani alichukuwa wanasayansi kwa nguvu wengine kwa hiari baada ya vita kama mateka na kuwalazimisha kufanya kazi Marekani, huo ni UKWELI na ni lazima usemwe lkn haimaanishi kwamba Marekani siyo Kiongozi leo kwenye haya mambo hapana, bali ni sehemu tu ya Historia ambayo ni muhimu kuijua na kuitambua!
 
Haya mambo nyie bishaneni tuu kwa jinsi mlivyoyakopi mlipoyatoa... lakini Ukweli wanafahamu wenyewe, wenye nyuklia yao.
 
Nafiri kwa uelewa wangu, sayansi ya nuclear ilikuja kama idea kutoka kwa huyo Otto Han, lakini baba wa Unclear duniani ni Albert Esteirn.Huyu Myaudi alikimbia Ujerumani kutokana na Manyanyaso na Sheria kandamizi zilizoendelea kutungwa huko Ujerumani dhidi ya Wayaudi.Esteirn alikimbilia Marekani, kuingia kwake New York kati ya 1918 hiv au 1922 sikumbuki vizuri kulimake headline ya vyombo vya habari vya Marekani yote ya kwamba Mwanasayansi mkubwa ameingia Marekani.
 
Haya makitu ndio yanayowafanya westerners kuogopa nchi kama North Korea,Russia na Iran.
 
Kuna chain reaction inayofanya kwenye vyungu vyao huko mkuu. Kuna kitu bombardment reation, kwenye atom ya U, inaongezwa Proton au netron ili kuifanya isiwe stable hii kitu itajigawa kuzalisha atom nyingine plus proton au netron nyingine ikitegemea imekuwa bombard na nini ila kinacho zaliwa kipya ni Energ kubwa sana, kama hii reaction isipo kuwa contorled italeta shida. Kama chain reaction ikiendelea basi tegemea energy kubwa sana ambayo inaweza kufanya hayo uliyo yasema
Ingia wikipedia upate nondo kuhusu Mabomu ya Hiroshima na Nagasaki( Enola Gay). Baada ya hapo ingia wikipedia usome ajali ya Chernobly kule Urusi(1986), kabla ya kumalizia ile ya majuzi tu hapa Kule Japan(2011)
 
Ile ajali ya Urusi kule Chernobly ukisoma utapata mafunzo mengi sana hasa bomu au mitambo ya nyuklia inafanyaje kazi. Inasikitisha kikosi cha Zimamoto kiliingia kichwakichwa na hao waliteketea sana kule Chernobly. We sikia tu, nyuklia ni hatari sana!
 
Iyo ya hiroshima ilitoa nyuz joto 3000 hapa gitu ving vina melt
 
Ile ajali ya Urusi kule Chernobly ukisoma utapata mafunzo mengi sana hasa bomu au mitambo ya nyuklia inafanyaje kazi. Inasikitisha kikosi cha Zimamoto kiliingia kichwakichwa na hao waliteketea sana kule Chernobly. We sikia tu, nyuklia ni hatari sana!
ajali ya nh yuklia wanapeleka zimamoto?
 
Kuna chain reaction inayofanya kwenye vyungu vyao huko mkuu. Kuna kitu bombardment reation, kwenye atom ya U, inaongezwa Proton au netron ili kuifanya isiwe stable hii kitu itajigawa kuzalisha atom nyingine plus proton au netron nyingine ikitegemea imekuwa bombard na nini ila kinacho zaliwa kipya ni Energ kubwa sana, kama hii reaction isipo kuwa contorled italeta shida. Kama chain reaction ikiendelea basi tegemea energy kubwa sana ambayo inaweza kufanya hayo uliyo yasema
Mkuu
Kutokana na maelezo ya mtoa mada,kwanini U-235 inatumika kuliko U-238?

Nataka kujua cuz mawazo yangu ni hivi..
1.U-235 has less neutrons inside of its nucleus,hence it stable in any way compared to the rest isotope,,in this ordeal,one will demand high bombarding energy to overwhelm binding energy
2.vice versa is true for u-238 isotope

Mkuu unaweza nisaidia hapo??

jw library
 
Hivi na wakitaka zidestroy hizi Nuclear Bombs, wanazidistroy vipi ili zisilete madhara? Na how siku kikawachachia ikajibu yenyewe huko wanapoyahifadhi km ivokua nchi yetu ya kufikirika hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Kutokana na maelezo ya mtoa mada,kwanini U-235 inatumika kuliko U-238?

Nataka kujua cuz mawazo yangu ni hivi..
1.U-235 has less neutrons inside of its nucleus,hence it stable in any way compared to the rest isotope,,in this ordeal,one will demand high bombarding energy to overwhelm binding energy
2.vice versa is true for u-238 isotope

Mkuu unaweza nisaidia hapo??

jw library

Jibu la swali lako siyo fupi sana mzee; ingawa mimi siyo mtaalamu wa mambo hayo, ninajua kuwa unahitaji kuingia kwenye particle physics ya kina kujua tabia zinaitwa "fissile" na "half life". Hiyo 235 ni fissile zaidi ya 238 halafu ina half life ndogo kulinganisha na 238. Fissile ni tabia kuwa ikianza reaction basi viwango vya nishati (energy levels) ndani yake vinajiwezesha kuuendelea na reaction hiyo bila kusimama (fission) na wala haihitaji kugongwa tena; halafu half life inapima mwendokasi wake wa kuendelea na reaction kabla haijaishiwa nguvu zake. Ile isotope yenye half life ndogo inatoa nishati yake kwa haraka sana kulinganisha na ile yenye mwendokasi mdogo, na ile ambayo siyo fissile haiwezi kuendelea na reaction yenyewe bila kuendelea kugongwa mara kwa mara.

Nimejitahid kutoa maelezo kwa njia rahisi, ama sivyo wasubiri watemi wa nyanja hiyo wekuletee kitabu.
 
Back
Top Bottom