residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Nusu karne yangu ya kuwa duniani sijawahi kupata kujua wala kuona kama watu wa kanda ya ziwa (Wasukuma, "Wamara" na Wanyamwezi), ni wakabila kama nionavyo sasa hapa JF.K
Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
Asante mkuu!!Mada imekushinda toka mwanzo.
Badala ya kuiongelea Tanzania unaongelea mtu ambaye amekwishaondoka, na kwamba kwa vile anasemwa kutatokea mabaya?
Mada yako ingejikita kuongelea hawa waliopo, unaowaita serikali wanaoelekea kuiingiza Tanzania katika hiyo hofu uliyoweka ndani ya mada yako.
Mienendo ya hawa watu (watawala walafi) ndiyo itakayosababisha mfarakanyo mkubwa, na siyo swala la kumsema vibaya Magufuli.
Kwa hiyo karma indayompata jpm ni ipi?Jpm anasemwa kwasababu ya maisha aliyojiamulia eye mwenyewe akiwa hai. Unakumbuka kile kicheko chake cha hiiiiiiiiiiiiiiii wakati akiumiza wenzake ? Ule ulikuwa ni wakati wake wa kutamba ! Unajua familia za aliowaumiza zinajusikiaje huu sasa ni muda wa wengine kusema hiiiiiiiiiiiiiiii kanuni ni moja tu karma kila kipimo unachopimia wengine nawewe utapimiwa.
Subiri kanda ya ziwa Waambiwe ukweli kuhusu kifo cha JPM utaniambia upepo wa kisiasa utakuwaje.
Watu wa huko "kanda ya ziwa" umewashikia akili zao wote?K
Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
Ndo alikolelewa mkuu!!Alikuwa raisi wa kanda ya ziwa? Ficha huu ujinga, kwamba kanda ziwa ndio wenye uchungu sana kuliko Watanzania wengine? Bila kujua unathibitisha tuhuma za muda mrefu hapa kwa marehemu kwamba alipendelea kanda fulani kuliko alivyoipendelea Tanzania.
Mbona aliemuua Mwangosi, aliemtesa Ulimboka, aliemmwagia tindikali kunenea, alielipua bomu na kuua watu 5 kwenye mkutano wa chadema pale arusha yupo na hamumsemi kwa lolote tena mnamuita ni kipenzi chenu?Hakuna mjadala wowote utafungwa, na hata ikifungwa hapa kuna majukwaa kibao ya kujadili utawala ule wa kidhalimu. Wakati alipokuwa akiumiza watu, kuteka, kuwaua na kunajisi chaguzi za nchi hii mliona ni sawa. Sasa tunaendelea kutoa mrejesho wa utawala ule wa kidhalimu, mnakimbia majibu! Hiyo familia yake waruhusiwe kusema lolote watakalo lakini ukweli mtu wao alikuwa katili na mlevi wa madaraka.
Na huko kanda ya ziwa mnakotaka kujifanya alikuwa na haki miliki watu wataenda, na watapata kura za kishindo kwani kura hupangwa na vyombo vya dola na sio wananchi, na yeye ni muasisi wa uhayawani ule. Sasa vuneni alichopanda, na hili litakuwa fundisho kwa viongozi wengine kutawala kwa mabavu.
Ndo alikolelewa mkuu!!
Wewe ni zuzu.Subiri kanda ya ziwa Waambiwe ukweli kuhusu kifo cha JPM utaniambia upepo wa kisiasa utakuwaje.
Doh!Sio Chato? Hii inaweza kuwa sababu ya eneo lote kuwa na mahaba mpaka kiasi cha kuwa na hasira ya kifo chake pekee yao mkuu? Kwa maelezo mengi na ushahidi hafifu umekuwa ulitolewa hapa jinsi jpm alivyoleta naendelea kila mahali nchi, kwa nini huoni kwamba wananchi wa kanda zingine nao watapata hasira endapo watajua ukweli wa kifo cha jpm, ukweli ambao kwa maoni yangu upo wazi hata sasa?
Yaani nimeshangaa sana jinsi huyu zoba asivyojua kuwa hili bandiko lake linatuthibitishia ukanda wa JPM.Alikuwa raisi wa kanda ya ziwa? Ficha huu ujinga, kwamba kanda ziwa ndio wenye uchungu sana kuliko Watanzania wengine? Bila kujua unathibitisha tuhuma za muda mrefu hapa kwa marehemu kwamba alipendelea kanda fulani kuliko alivyoipendelea Tanzania.
Utayafanya nini sasa mkuu!Yaani nimeshangaa sana jinsi huyu zoba asivyojua kuwa hili bandiko lake linatuthibitishia ukanda wa JPM.
Mazoba ya JF yanakera kweli.
Ni kweli, matatizo yake yanafahamika kwa sababu yaliwagusa nyinyi wauza unga, mashoga, mafisadi, vyeti feki na wanufaika wa migogo wa wafanyakazi hewa!!Anasemwa sana mwalimu Nyerere tena mpaka kuwekewa na makongamano, je mbona kwa miaka yote hii nchi haijalipuka? Kwa nn anaposema jpm tu ndio nchi ilipuke? Hii maana yake ni moja tu, huyu ndio alikuwa tatizo na ameacha tatizo na bila shaka tatizo mojawapo ni wewe mwenyewe mleta mada. Tatizo lako ni ujinga. Jamaa aliwajaza ujinga kiasi kwamba mnahisi ninyi ndio mlikuwa bora na mlifanya bora kuliko wengine wote. Kumbe mliofanya yote nayo ni ujinga tu. Wanapotokea watu kuondoa ujinga wenu kwenye mnakuja na vithread hapa vya kutishia nyau [emoji23]
Aliharibu ila hajamfikia dhalimuHivi Mkapa hajawahigi kuharibu eehh!!?
Mbona aliemuua Mwangosi, aliemtesa Ulimboka, aliemmwagia tindikali kunenea, alielipua bomu na kuua watu 5 kwenye mkutano wa chadema pale arusha yupo na hamumsemi kwa lolote tena mnamuita ni kipenzi chenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu aliwabutua akiwa hai na bado atawabutua akiwa mfu! Na hata uchaguzi wa 2025 utakuwa kati ya ccm & chadema vs pro magu!
Na bado atawabutua sana, si mlimkenulia wenyewe
Katika masikio yangu,watu wanaosema huyo kiumbe vibaya ni wengi sana. Jamaa alikuwa na roho mbaya Sana kuliko Yuda Iskari Yote na kilichomchonganisha na watu ni mdomo ulikuwa hauna break.JPM aliumiza wachache Ili kuponywa mamilion ya watu.