residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Nusu karne yangu ya kuwa duniani sijawahi kupata kujua wala kuona kama watu wa kanda ya ziwa (Wasukuma, "Wamara" na Wanyamwezi), ni wakabila kama nionavyo sasa hapa JF.K
Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
Kwa nini "Lake Zonians" wa JF mmejawa na ujuha mwingi sasa!!??
Hii inafanya tuamini kuwa ninyi (kanda ya ziwa mliopo JF) mlikuwa wanufaika wakuu wa utawala wa mwendazake zaidi ya Watanzania wengine.
Kwa nini msiseme mtawatambua Watanzania "wanyonge" kama kweli aliwapigania hao ambao ndio wengi kuliko kulialia kuwa kanda ya ziwa hivi mara kanda ya ziwa vile!!??