Bomu liko katika hatua za mwisho lilipuke, Ila Serikali inao uwezo mkubwa wa kulitegua ili lisilipuke

Umeongea la maana sana japo wapo wengine watakuponda sioni mantiki ya kuendelea na mjadala huu lakini kwanza waonywe viongozi wakuu wao kila siku lazima wamponde JPM ili wasikike kumbe ndio wanajiharibia hata 2025 itakuwa heka heka
Kwahiyo mmeamua kugunga legasi ya hayati?
 
Umeongea la maana sana japo wapo wengine watakuponda sioni mantiki ya kuendelea na mjadala huu lakini kwanza waonywe viongozi wakuu wao kila siku lazima wamponde JPM ili wasikike kumbe ndio wanajiharibia hata 2025 itakuwa heka heka
Mbona wanaomsema ni ccm hao hao
 
Pole. Naona moderator kakupumzisha kidogo 🤣
 
Duuh
 
Hivi ukiulizwa ushawai kumuona marehemu akimuua mtu utajibu?
Hayo majina ya hao wapuuzi wengine waache wapate walichotafuta na hamna ushahidi mpk sasa waliuwawa au kujeruhiwa na nani.
 
Subiri kanda ya ziwa Waambiwe ukweli kuhusu kifo cha JPM utaniambia upepo wa kisiasa utakuwaje.
Tumeishalishwa uongo wa kutosha kuwa aliuwawa lakini tulio wengi hatudanganyiki na matango-pori ya wanufaika wa mfumo mbovu wa ubaguzi na ulaghai aliokuwa anauimarisha Magufuri!
 
Tena kwa taharifa yako, mjane wa magufuli kanenepa sana, kawa shavu dodo.

..nadhani ananenepa cozi ya furaha ya kifo cha dikteta.
 
Ikiruhusiwa hii mkuu, halitaisha tu kwa amani,!

Waliofanya kama ni kweli, Mungu atakutana nao tuu!!

Serikali ilisemee tu ili kusiwepo tena mjadara wowote unaohusu JPM
Wapendwa wa akina saa8, azory, kangoye, lissu nao wakae kimya???
U r kidding yourself, let people / Tanzanians celebrate death of the dictator
 
hakuna cha ghafla ccm walichokitengeneza walikuwa wanakijua na sasa wameua wapinzani rasmi kwa kuwanunua kwa kuwa waliaminishwa kuwa adui yao ni Magufuli sasa wamezibwa midomo hakuna mwanasiasa mwaminifu hata kidogo.
 

Walengwa wana kuja, kuwa mvumilivu ndugu sukuma member
 
Haya mambo yaliamuliwa na MUNGU KWA HAKI
MUNGU ameshapitisha uamuzi wake mtake msitake.
 
Nasisi ndugu wa ben saanane unataka tunyamaze? Hebu tupishe mungu apewe sifa kwa kumuondoa replica ya nduli.
Mbowe ana husika kwa asilimia 100 kuhusu huyo ben ndiyo maana uwasikii siku hizi wakitaka kujua alipo licha ya JPM KUWA HAYUPO TENA.
 
huyo mungu wenu wa chato kaua wengi na kumbuka damu huwa haipotei bure
 
Ni washenzi wachache wapigaji, ambao walizoea kula na kunywa vya wanyonge wengi wanajificha kumtukana JPM kuficha uovu wao. Ni washenzi hii nchi sio ya baba zao.. nao watakufa hakuna atakayebaki duniani
Sasa inakuwaje nyie wanyonge wengi mnashindwa na wapigaji wachache?
Fanyeni hivi:
1-wanyonge watetezi wa Maguu tiririkeni
2-wenye akili zetu tuacheni tuendelee kumkosoa
 
Jk alishaacha uongozi miaka mingi iliyopita akiwa amewasaidia wanajf kibao ajira, elimu na uhuru wa kuongea lakini ndiye raisi anayeongoza kusemwa, kukashifiwa na kuzushiwa; kuanzia yeye mwenyewe hadi familia yake. Kiufupi sijaona raisi aliyependa watu km jk lkn pia sijaona raisi asiyepewa heshima yake (anayechukiwa) kama jk na chuki ilizidishwa dhidi yake kuanzia awamu ya tano maana mwenye nchi mwenyewe alikuwa Kinara wa kumkandia jk.......ghafla bin vuu, taifa zima (la wanyonge) likaanza kucheza wimbo huo na wanyonge hawa hawajaacha kucheza wimbo huo mpaka leo, tena wamejiongeza kwa kumsukumia hadi tuhuma za vifo. Wimbo unaendelea kumuandama hadi mama na wateule wake, kila kitamkwa kinachotoka kwao basi HULAZIMISHWA tafsiri fulani iliyo hasi dhidi ya marehemu; akimsifia jpm wanyonge wanamwita mnafiki anayejikosha, akitoa mapungufu kidogo km yeye alivyokuwa akiyatoa ya wenzake basi wanyonge hupiga kelele kuwa hampendi na kazi yake kumnanga tu.

Pamoja na yote hayO, jk yupo kimya na sisi wafuasi wake tuko kimya pia tunafurahi tu. Ni kawaida, nanyi tulieni tu.
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji....
Samia mbele kwa mbele....na uchaguzi Kanda ya ziwa tunakomba kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…