Hii dunia kuna wakati kuna matukio yanahuzunisha sana,why killing of innocent people?tunagombania nini?,pesa au mali au ardhi?ndio maana watu wanasema binadamu ni kiumbe hatari sana kuliko kitu kingine chochote,tunasahau kuwa mwisho wa siku tutaacha kila kitu hapa duniani,tunajimaliza wenyewe kwa upumbavu wetu wenyewe,narejea maandiko ya Mungu,Hosea 4:6."Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako"....