steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Natamatisha kabla sijaendelea upeo wako ndipo ulipoishia hapa.Kikubwa kama cha bi mkubwa wako uwa nakioenda sana…
Teh Teh teh
Bi mkubwa wangu anahusikaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamatisha kabla sijaendelea upeo wako ndipo ulipoishia hapa.Kikubwa kama cha bi mkubwa wako uwa nakioenda sana…
Teh Teh teh
Huo unyama wamekuwa wanafanyiwa kwa miaka 75 , labda kama hujui hali ya huo mgogoro , wa ki lipiza kisasi kwa kupiga Jihad attacks na kuwachinja hao wayahudi feki mnaanza kusema Hamas wakorofi mara wapalestina magaidiPamoja na kupigwa kote huko utakuta wapalestina bado wanaendelea tu kukaza mafuvu na kuendelea kupigana eti
Kwa asili ya akili za muarabu,100 percent watakuwa wanafanya haya.Benjamin Netanyahu to US president Joe Biden today.
“While Israel seeks to minimize civilian casualties, Hamas seeks to maximize civilian casualties,” Netanyahu said. “Hamas wants to kill as many Israelis as possible and has no regard whatsoever to Palestinian lives – every day they perpetrate a double war crime, targeting our civilians while hiding behind their civilians, embedding themselves in the civilian population and using them as human shields.”
"Wakati Israeli inataka kupunguza vifo vya raia, Hamas inatafuta kuongeza majeruhi ya raia," Netanyahu alisema. "Hamas inataka kuua Waisraeli wengi iwezekanavyo na haijalishi maisha ya Wapalestina - kila siku wanafanya uhalifu wa vita maradufu, wakiwalenga raia wetu wakiwa wamejificha nyuma ya raia wao, wakijiingiza ndani ya raia na kuwatumia kama ngao za binadamu.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama anayo mengine, tunaomba arushe. hao wanafikiri vita ni mchezo.
Unaanzisha vita kisha unachagua silaha za adui?Natamatisha kabla sijaendelea upeo wako ndipo ulipoishia hapa.
Bi mkubwa wangu anahusikaje hapa?
Mjadala umechafuliwaje na comment zangu?Unaanzisha vita kisha unachagua silaha za adui?
Ukija kistarabu kwangu utajibiwa kistarabu ukija kihuni utajibiwa kihuni huo ndiyo utaratibu wangu miaka yote JF.
Wapuuzi kama nyie ndiyo huwa mnachafua mijadala unajifanya unajia maneno sasa hivi utajibu kistaraabu bakora imekuingia..
kwahiyo hospitali kulikua na hamasi pale, kwa mujibu wa yericko nyerere matako ni spika ya tumbo, kwanini israel wasifanye ground invasion wawapige risasi hamasi tu, wanarusha mabomu kama maembe kila sehemu facken kabisa.Sawa tu ila Hamas hawatarudia kujichomoa akili tena for centuries